Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Kujengewa kambi ya vita ni udhaifu uliopindukia

Sawa na kumtoa mke wako agongwe na watu
Hiyo base ilijengwa zamani enzi za Mwl JKNyerere, Ngerengere Airbase.
Sasa wanaboresha, tuna mapairoti wazuri pale na ndege za kisasa.
Hivyo J M Kikwete alifanya kazi nzuri kuimalisha jeshi letu!!
 
Ila hawatakosa la kusema ili na wao waonekane wamo.
 
Sawa GT wa vichaa unashindwa jibu hoja unaleta taarabu tu
 
Some of the Air Bases and the fighter jets in Kenya. Tanzania kumbe wana gani, ama watanunua hivi karibuni J - 20??

Some of the Air Bases and the fighter jets in Kenya. Tanzania kumbe wana gani, ama watanunua hivi karibuni J - 20??

Sasa hayo makopo ya mwaka 1962 yaani F-5 unaleta hapa. huoni hata aibu? Hizo ndege licha ya radar yanaonekana hata kwenye camera ya simu ya Galaxy.
 
Unajua uwezo wa stealth aircraft?
 
Some of the Air Bases and the fighter jets in Kenya. Tanzania kumbe wana gani, ama watanunua hivi karibuni J - 20??

don't take the bait pal....achana na uyu ajibambe.ati number one Africa??hehee...ana ndoto za alinacha
 
don't take the bait pal....achana na uyu ajibambe.ati number one Africa??hehee...ana ndoto za alinacha
Tunajua Kenya ni mikia. Jeshi la kenya ni kikundi cha sungusungu.
 
Maguful sio wa sport sport !!.... Mi naamini hata wangeingia wapinzan wasingefikia kas ya huyu jamaa
 
Kujengewa kambi ya vita ni udhaifu uliopindukia

Sawa na kumtoa mke wako agongwe na watu
Mkuu ndio hali halisi km tu nyumba za kuishi tunajengewa,hatuna technology yakutosha.....kubaliana na hali sis ni 3rd world countries
 
uwanja wa Ngerengere ulijengwa na Nyerere. Sasa aliyekwenda kuzindua ni amefanya nn. Au kuna marekebisho amefanya..

Huu ni usanii tu. Anajifanya kajemga yeye na wakati ukijengwa yeye alikuwa shule..

Labda kaenda kuuona kama mkuu wa kaya.
 
Hivi kwanini Watanzania tunapenda kudanganyana hivi?
 
Bado hatujafikia uwezo wa kuwa na stealth fighters....
Hizo ndege ni so expensive... very expensive.. ili kuzipata mpaka bunge la china waidhinishe...
Yani anvyoenda kuzidownload you tube huko zikawa kwenye simu yake anaona kama ndio zipo bongo vile. Nilimuuliza anajua walau hata Bajeti ya ndege moja na running cost yake, ameishia kuhamisha magoli na ku spit shudu tu humu.
 
Tunajua Kenya ni mikia. Jeshi la kenya ni kikundi cha sungusungu.
Ahahaha hivi kumbe sarakasi zote hizo ulizokuwa unaruka ruka humu uko naked, ni competition ulikuwa unafanya na Kenya.? Ndio maana ukaenda mbali zaidi ukidhani mi mkenya? Kweli we "paraza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…