Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Hiyo base ilijengwa zamani enzi za Mwl JKNyerere, Ngerengere Airbase.Kujengewa kambi ya vita ni udhaifu uliopindukia
Sawa na kumtoa mke wako agongwe na watu
Sasa wanaboresha, tuna mapairoti wazuri pale na ndege za kisasa.
Hivyo J M Kikwete alifanya kazi nzuri kuimalisha jeshi letu!!