Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Sasa hayo makopo ya mwaka 1962 yaani F-5 unaleta hapa. huoni hata aibu? Hizo ndege licha ya radar yanaonekana hata kwenye camera ya simu ya Galaxy.
Hivi sasa hivi sisi Tanzania tuna ndege gani.?
Au labda niulize hivi kwa E. African countries, ni nchi ipi ndege bora za kivita?
 
Hivi sasa hivi sisi Tanzania tuna ndege gani.?
Wewe tatizo lako hujui chochote. Kubali kwanza kwamba hujui ili nikusaidie. Lakini kujifanya unajua utaonekana hopeless.
 
Wewe tatizo lako hujui chochote. Kubali kwanza kwamba hujui ili nikusaidie. Lakini kujifanya unajua utaonekana hopeless.
Kuna raia wa kunisaidia ila sio wewe na tambo zako zenye vacuum.
 
Kuna raia wa kunisaidia ila sio wewe na tambo zako zenye vacuum.
Hebu ona sasa ulivyo!!? Unauliza swali upate msaada huku unaleta nyodo. Ujinga siyo tusi ndugu. Kubali hali halisi yako upate kuelevuka.
 
Hizi SU-35 ni mnyama uwanjani, hii F-22 nayo ni mnyama vile vile sio sio kama SU-35. Mambo kama haya Russia ni habari nyingine.

Tanzania tusubiri miaka mingi sana kumiliki hivi vitu, landa tujikakamue saaana kumiliki MIG-21.
 
Hebu ona sasa ulivyo!!? Unauliza swali upate msaada huku unaleta nyodo. Ujinga siyo tusi ndugu. Kubali hali halisi yako upate kuelevuka.
Yani kama tungekuwa hata na SU 30 kama jirani zetu wa Uganda nadhani ungekuwa unakunya "magadi" JF nzima.
 
Tuweke mambo ya wazazi pembeni, tujiongelee sisi kama sisi.
 
Yani kama tungekuwa hata na SU 30 kama jirani zetu wa Uganda nadhani ungekuwa unakunya "magadi" JF nzima.
Yaani wewe ni kopo kabisa. Hebu leta references kwamba Uganda ipo na SU-30. Au unaimba nyimbo na mapambio?
 
Mkuu, SU-35 ni ndege iliyopitwa na Technology ya sasa???
 
Inabidi tufike kipindi tutambue kuwa jeshi letu ndo lipo ktk hatua za kujijenga zaidi kwenye medani ya kisayansi ya kisasa. Level za Misri, South Afrika hatunusi hata pua.
 
Mkuu, achana nae. Eti SU-35 sio ndege ya kisasa.
 
Inabidi tufike kipindi tutambue kuwa jeshi letu ndo lipo ktk hatua za kujijenga zaidi kwenye medani ya kisayansi ya kisasa. Level za Misri, South Afrika hatunusi hata pua.
See ..know you are a great thinker ...same to kenyan army...is great lakini kuna level zingine hatuguzi za egypt na sa includig ethiopia
 
See ..know you are a great thinker ...same to kenyan army...is great lakini kuna level zingine hatuguzi za egypt na sa includig ethiopia
Misri, South Afrika, Nigeria Na Ethiopia kwa mbali najua uwezo wao wa kijeshi ila Kenya hapana kwa kweli, Uganda nnajua wana SU-30 6 za Russia.

Tanzania naona na sisi ndo tumeamka, nadhani ujengwaji wa hiki kiwanja kutahamasisha ununuaji wa hizo ndege za kisasa za kivita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…