Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Hhhhhhhhhh!!! Daah! Danganyika, bado mko kwa hii report za tuta...... hapa mmenifurahisha, ...eti nadhani zita......
 
Nakuhurumia sana kwa umbumbumbu wako. Hivi unadhani kwanini Uingereza ina vifaa vya hali ya juu vya kivita? Je, wapo na vita? Wewe unafikiri kwanini China au Russia wapo na vifaa vya kutisha je wanavita? Ukiwa mbumbumbu ni vyema ukaficha upumbavu.
Wao wana maendeleo pia mbn unafananisha vitu ambavyo havina ulingani? wewe unamsifia baba ako kununua mapanga na bunduki kwa ajili ya ulinzi wakati hali ya msosi nyumbani sio nzuri? na pia hao waingereza Wao wana tishio kubwa la magaidi sio vibaka so umbumbumbu wangu kwako cjui ni nn tu!
 
mimi swali langu ni hela iliyotumika hapo haiwezeka kilometer tatu zinajengwa kwa bilion 100 hatakama ni kuclear a new area jk aliwafaidisha sana hawa wachina naona mkuu kimemuuma kimoyo moyo
 
Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
Wakati mzuri zaidi wa kujiandaa na baa la njaa ni pale kuwapo na chakula cha kutosha,

Vilevile wakati mzuri zaidi wa kujiandaa na vita ni ule wakati nchi ina amani.
Natumaini umenielewa
 
Somebody keeps spewing uncalled for insults, calling others 'idiots', yet she couldnt even discern the simple error in the document she's presented, even when others pointed it out for her she still defended the mistake.

Ati 3000m long plane!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] I thought may be is "HE"
 
Mbona unapotosha? hivi unapotosha kwa faida ya nani. Tunaongelea uwanja wa ndege wewe unasema kambi. Acha bana upoyoyo.
Naona kuna utata mwingine unataka kuibuka kama hizo mita 3000, Je wewe ni "KE" or "ME"? Kumradhi lakini kwa swali husika.
 
Naona kuna utata mwingine unataka kuibuka kama hizo mita 3000, Je wewe ni "KE" or "ME"? Kumradhi lakini kwa swali husika.
Mashoga mna matatizo sana. Kila kukicha mnawaza uchafu tu. Moja wapo ni wewe. Tubu Mungu atakusaidia.
 
Ndege siku hizi zinaruka kutoka katika meli
Unaoneka wewe kijana akili zako ni ndooooogle sana. Halafu huenda huna exposure, umejiumga JF kwa msaada wa shemeji yako. Wakati mwingine inakuwa vizuri kuficha upumbavu wako. Unadhalilisha wakenya wazenzako. Mbona wakenya wako poa tu!!? Au ndio madhara ya akili kuliwa na funza. Kwanini usitumia akili kidogo tu kiwango cha kuku!?
 
Somebody keeps spewing uncalled for insults, calling others 'idiots', yet she couldnt even discern the simple error in the document she's presented, even when others pointed it out for her she still defended the mistake.

Ati 3000m long plane!

Mashoga mna matatizo sana. Kila kukicha mnawaza uchafu tu. Moja wapo ni wewe. Tubu Mungu atakusaidia.
Hivi tatizo ni lugha au uelewa?
Sasa panic yote ya nini?
Mi nimefanya kuuliza kutokana na post moja wapo hapo juu jinsi walivyokuchukulia. Au wakati huyo jamaa anaandika ulikuwa umevaa miwani?
Mi niliaona niulize kwanza ili nijue, na nisiendelee kujipotosha.
 
Ujue kukichaa siyo uokote makopo. Wewe hapa ni kichaa. Jaribu kwenda kupimwa akili. Ninauhakika watakwambia upo na mtindio wa ubongo.

Au huenda wewe ni katoto kadooogo. Nakushauri acha kujidhalilisha kwenye social media watu wengi wanasoma kuna wengine watakushangaa kuona kumbe kuna mapunguwani yanaingia humu JF. Unatuondolea maana halisi ya mtandao kwamba GT kwa kuweka comment za kipumbavu.
 
Sasa unapouliza Jinsia kwenye mitandao unamaana gani? Ni mashoga pekee wanafanya hivyo.
 
Somebody keeps spewing uncalled for insults, calling others 'idiots', yet she couldnt even discern the simple error in the document she's presented, even when others pointed it out for her she still defended the mistake.

Ati 3000m long plane!

Sasa unapouliza Jinsia kwenye mitandao unamaana gani? Ni mashoga pekee wanafanya hivyo.
Kwa hiyo huyo jamaa aliyekuchukulia kama Jike yupo sahihi tu, au tayari alishawahi kukupeleka "msata" na "ukachuma mboga za majani," ndio maana anauhakika na jinsia yako mpaka akaku address direct?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…