Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Umeingia sasa kwa wenzako wewe twende twende tu. Nadhani kadiri tunavyoenda somo linakuingia utaenda kuwapa somo jirani zako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hivi tupo na mpango wa kuunda satellite mbili. Na maandalizi yameshaanza mpaka 2022 zitakuwa zimekamilika.
 
I think this thread doesnt qualify in this category.....Annael just brought it here to spark competition with Kenyans.....maksudi
 
Do you know the difference between display and deploy? And Specifically, do you know the meaning of deployment?? I think you are using a word you don't know the contextual use in military
Kwikwikwi kwani hiyo sentence niliyoweka inamaana gani? hebu tafsiri kwa kiswahili.
 
A 3000M long plane? hahahah.

It is like building a KSH 20M car park for a rickshaw.

Here are Tanzania's 19th century wonder planes:

ShenyangF.jpg
That one is old ass plane... nashangaa bado kama tutakuwa tuna fly.. chengdu J-5
 
Huku wewe ukionekana kama karai lenye "masalo"
Nadhani message yangu imegonga vizuri kwenye ubongo wa kati. Naona sasa unayumba yumba kama umelewa viroba.
Hapo ulipo umeshindwa hata kumeza mate umefura kama kifutu.
 
Lakini Pia Huwa Inasaidiwa Na Technolojia Ya Kuwezesha Hivyo Kama Ile Ya Kutumia Hydrollic Pumps Kuwezesha Ndege Kufikia TakeoFf Speed...
Man VTOL technology haihitaji ndege kwenda speed ili ipae. Bali hapo hapo ilipo.. kuna thrust vectoring parts zinazodirect engine kupuliza chini wkt ndege haitembei... ule upepo unaogonga chini ndio unafanya ndege iinuke juu.
 
Nadhani message yangu imegonga vizuri kwenye ubongo wa kati. Naona sasa unayumba yumba kama umelewa viroba.
Hapo ulipo umeshindwa hata kumeza mate umefura kama kufutu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hahahahaaaaaa Nimeleweshwa na kipumulio chako tu.
Haraka ya nini mpaka unachapia, hamna mashindano humu.
 
Sasa hivi tupo na mpango wa kuunda satellite mbili. Na maandalizi yameshaanza mpaka 2022 zitakuwa zimekamilika.

Na huwa huchoki na hizi stori zako za tuta...., yaani hakuna kitu mmefanya, ila kujisifu tu, tuta... you don't have any shame coming here with tuta..... kila siku??
 
Man VTOL technology haihitaji ndege kwenda speed ili ipae. Bali hapo hapo ilipo.. kuna thrust vectoring parts zinazodirect engine kupuliza chini wkt ndege haitembei... ule upepo unaogonga chini ndio unafanya ndege iinuke juu.
Nipatie jina la Fighter Jet moja inayotumia technology hii.
 
Back
Top Bottom