NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Habari za asubuhi waungwana!
Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo.
Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na 'dressing rooms ', mageti yote na sehemu mbalimbali zenye umuhimu mkubwa.