Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

Hakuna namna wakaombe uwanja wa Tandika Mabatini au Uwanja wa CCM Majunia Msasani🤣
Huko hakuna CCTV Camera.
Huko kwingine watadhalilika tu.
Hivyo viwanja kwani havina mmiliki?
Kama vina mmiliki wakihamia Yanga navyo vitafungwa camera Simple like that.
 
Tunashukuru sana sana uongoz wa manispaa.ya kinondon kuliweka hili umuhimzaid, wafunge kule vyumbani tuone kila kitu, mana tunajua kilichowakimbiza azam ni hilo la kamera na pia kuzindika uwanja na mauchawi yao
 
Back
Top Bottom