Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

Kitendo cha kupitia geti lisilo rasmi kuingia pale Kwa Mkapa na kujirudia huku wakipigwa faini na hawaachi , ni wazi Utopolo ni walozi na mauchafu mengine wanafanya ili timu Lao lishinde. Ni Timu la hovyo sana
 
Habari za asubuhi waungwana!

Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo.

Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na 'dressing rooms ', mageti yote na sehemu mbalimbali zenye umuhimu mkubwa.
Tuone sasa hawa mbwa watafanyaje uchawi wao. Wamekimbia uwanja wa Azam kwa kuwa umefungwa kamera kila mahali sasa wameenda tena kukutana na kamera huko KMC. Hawana pa kuchomokea, pambaf!
 
Wacha muone come back ya wananchi itakavyokuwa, huu uharo wote utaisha tu!

Yanga kufungwa mechi mbili mmefurahi kana kwamba ndio ligi imeisha!
 
Back
Top Bottom