NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Kwani camera zikifungwa ni vibaya mkuu?Wazazi tunatakiwa tujitafakari kwa kina mahali tulipokosea kwa hawa watoto wetu wa 2000+
Kwani huo uwanja wananchi wanaweza kununuwa hisa hata uwe wa umma?KMC Complex ni mali ya umma hivyo ni jukumu la wanakinondoni kuhakikisha wanaulinda ule uwanja vizuri.
Mchina kiboko,wachawi hawakwepi CCTV cameras.Habari za asubuhi waungwana!
Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo.
Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na 'dressing rooms ', mageti yote na sehemu mbalimbali zenye umuhimu mkubwa.
Tatizo ni Facebook mzee,Kisha bongo fleva nkWazazi tunatakiwa tujitafakari kwa kina mahali tulipokosea kwa hawa watoto wetu wa 2000+
Kama uwanja mpya kama wa KMC kulikua hakuna Camera za usalama inatakiwa mkandarasi asipewe Tena kazi Nchini.Habari za asubuhi waungwana!
Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo.
Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na 'dressing rooms ', mageti yote na sehemu mbalimbali zenye umuhimu mkubwa.
Cctv camera huwa ni included kwenye ujenz wa majengo makubwa, modern mpaka viwanja vya mpira.Kama uwanja mpya kama wa KMC kulikua hakuna Camera za usalama inatakiwa mkandarasi asipewe Tena kazi Nchini.
Viwanja vyote vya vipya Moja ya hitajio muhimu ni Camera za usalama.
Mimi binafsi siamini kama uwanja wa KMC mpaka Sasa hauna Camera za usalama.