Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

Yanga wenyewe wametulia ila vishankupe muda wote kujichetua kuhusu Yanga hiki Yanga kile.
 
Sasa mbona hizo camera hazijawai kunasa matukio kama yale ya juzi huko chamanzi?
Hakuna tukio halisi zaidi ya matukio waliyo tengeneza wenyewe Azam na kuyatafutia Dot za ku connect
 
Safi sana..wamekimbilia huko walidhani watafanya mambo yao
 
Hakuna tukio halisi zaidi ya matukio waliyo tengeneza wenyewe Azam na kuyatafutia Dot za ku connect
Dogo hujui nyamaza. Sisi tunajua.mimi nlishaandika kuwa ule uwanja tutahama. Sababu Azam walianza kutuhujumu. Hawataki Uwanja tuwe tunauandaa na pia kuweka cctv kururekodi vyumbani tukijiandaa hilo hatukupenda. Sasa wabaki na uwanja wao na wawaalike mikia sasa.
 
Dressing room haitakiwi kufungwa camera, watu wanavaa uchi unawekaje Kamera, akitokea kichaa akavujisha nyeti za wachezaji nani atawajibika hapo KMC🤣
 
Mikia si mmewafuata..sasa Ubaya Ubwela
 
Muuandae kwa ulozi? Yani ww ndo unazidi kuwaanika wazi vyura wenzio
 
Yanga tunahujumiwa kila upande sasa yale mambo yetu tutafanyaje?
 

Zilikuwepo chache ila baada ya YangaSC kuamua kutumia ile uwanja, uongozi wa KMC wakaona ni bora waongeze ulinzi kutokana na matukio yanayowahusu YangaSC kila mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…