M makwega7 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2018 Posts 3,037 Reaction score 3,316 Nov 10, 2024 #61 moudgulf said: Hakuna namna wakaombe uwanja wa Tandika Mabatini au Uwanja wa CCM Majunia Msasani𤣠Huko hakuna CCTV Camera. Huko kwingine watadhalilika tu. Click to expand... Hivyo viwanja kwani havina mmiliki? Kama vina mmiliki wakihamia Yanga navyo vitafungwa camera Simple like that.
moudgulf said: Hakuna namna wakaombe uwanja wa Tandika Mabatini au Uwanja wa CCM Majunia Msasani𤣠Huko hakuna CCTV Camera. Huko kwingine watadhalilika tu. Click to expand... Hivyo viwanja kwani havina mmiliki? Kama vina mmiliki wakihamia Yanga navyo vitafungwa camera Simple like that.
pesakilakitu JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 1,618 Reaction score 2,861 Nov 10, 2024 #62 Tunashukuru sana sana uongoz wa manispaa.ya kinondon kuliweka hili umuhimzaid, wafunge kule vyumbani tuone kila kitu, mana tunajua kilichowakimbiza azam ni hilo la kamera na pia kuzindika uwanja na mauchawi yao
Tunashukuru sana sana uongoz wa manispaa.ya kinondon kuliweka hili umuhimzaid, wafunge kule vyumbani tuone kila kitu, mana tunajua kilichowakimbiza azam ni hilo la kamera na pia kuzindika uwanja na mauchawi yao