Uwanja wa Mkapa ni eneo gani mtu akikaa anaona mechi vizuri kuliko maeneo mengine?

Uwanja wa Mkapa ni eneo gani mtu akikaa anaona mechi vizuri kuliko maeneo mengine?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃

Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
 
Kuna raha sana kuangalia mpira live pale kwa mkapa. Kama umezoea kuangalia kwa tv af uingie uwanjani unaweza dhani wachezaji hawako serious kumbe wako serious.

Af uwe na earphones uwe unasikiliza matangazo kwenye radio🔥🔥
 
Sentensi ya mwisho ndo muhimu kuliko hata kuingia uwanjani
 
VIWANJA vyetu ni vya kizamani mno imagine umekaa mita 50 kutoka kwenye pitch alafu kwa juu,jaman ni ukweli usiopingika ni kheri usikilize mpira tbc kuliko kwenda uwanjani. hali hii ilinitokea nlipoenda mwanza kuchek game, kati ya SIMBA VS YANGA 2022 May 28 kwanza wachezaji hawako serious,muda ni kama dk 10 kwa kila kipindi. nlipotoka nilijilaumu mno kwa nn nlienda kuchek game, cha kushukuru MAKOLO walilala na viatu asilani.
 
Back
Top Bottom