Uwanja wa Mkapa ni eneo gani mtu akikaa anaona mechi vizuri kuliko maeneo mengine?

Mechi kwa Taifa,Bora kwenye Tv...kwenda uwanjani Mimi labda iwe ni out tu ya kukaa na watu wangu...ila Bora nicheki thru screen,unaona hata marudio ya tukio
 
Watu wa uwanja Kwa Mkapa Kuna kitu wanatakiwa kufanya kuhusu haya malalamiko ya watazamaji kushindwa kuona vizuri uwanjani.

Labda waongeze TV uwanjani.
 
Back
Top Bottom