Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Aisee!!Sehemu yeyote utakayokaa utaona vizuri eneo lile litakalokuwa na uwiano mzuri na macho yako..!
Mfano Aliyekaa karibu na goli La mashariki ataona vema matukio ya hapo golini kumshinda aliyekaa VVIP
Hakuna goli la mashariki kwa mkapa,ni kusini na kaskaziniSehemu yeyote utakayokaa utaona vizuri eneo lile litakalokuwa na uwiano mzuri na macho yako..!
Mfano Aliyekaa karibu na goli La mashariki ataona vema matukio ya hapo golini kumshinda aliyekaa VVIP
Nyavu huzinguaGolini, pale unaona uwanja mzima na wachezaji wote kwa ukaribu kabisa kuliko hata Mgeni rasmi
Hakuna goli la mashariki kwa mkapa,ni kusini na kaskazini
Huu ni utopolo😄😆😀😃Using'oe viti tu.
halafu pembeni ya Mangungu kutakuwa na Rage..!!! Hawa watamshirikisha kwanini waliwaita wenzao mbumbumbu huku mechi ikiendelea..!!Kaa VIP A karibu na Mwenyekiti wako Mangungu. Hakika hutojutia.
Sentensi ya mwisho ndo muhimu kuliko hata kuingia uwanjaniKuna raha sana kuangalia mpira live pale kwa mkapa. Kama umezoea kuangalia kwa tv af uingie uwanjani unaweza dhani wachezaji hawako serious kumbe wako serious.
Af uwe na earphones uwe unasikiliza matangazo kwenye radio🔥🔥
Afu kweli unaweza ona kama.unapoteza muda wakoKuna raha sana kuangalia mpira live pale kwa mkapa. Kama umezoea kuangalia kwa tv af uingie uwanjani unaweza dhani wachezaji hawako serious kumbe wako serious.
Af uwe na earphones uwe unasikiliza matangazo kwenye radio🔥🔥
Kwa ivo Bora kuangalia kwa tv?Afu kweli unaweza ona kama.unapoteza muda wako
Nenda kuna raha yake ile ukila vitu kwanza inakua murua 🥃🥃🍺Kwa ivo Bora kuangalia kwa tv?
Jamani mimi natokea kishapu🤣🤣Kuna raha sana kuangalia mpira live pale kwa mkapa. Kama umezoea kuangalia kwa tv af uingie uwanjani unaweza dhani wachezaji hawako serious kumbe wako serious.
Af uwe na earphones uwe unasikiliza matangazo kwenye radio🔥🔥