Ni kweli mkuu, kama ukikaa upande wa Simba hakikisha una ndugu jamaa na marafiki karibu vinginevyo hasira za Ramadhani Kayoko watazihamishia kwako. Hawacheki na wowote hao jamaa.
Mechi kwa Taifa,Bora kwenye Tv...kwenda uwanjani Mimi labda iwe ni out tu ya kukaa na watu wangu...ila Bora nicheki thru screen,unaona hata marudio ya tukio