Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

DIUNATION

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
2,591
Reaction score
1,719
Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.

Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.

Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila mtu anaogopa.

 
Kampeni ni ya muhimu kuliko hayo majani yaliyokanyagwa tutayamwagilia maji tu hakuna shida labda kama una tatizo jingine.Kwanza mechi yetu na wananchi ni mpaka November 7 hapo tutakuwa tumeyamwagilia maji
 
Wao ndiyo waliyoutengeza hivyo kama wameuharibu wao bado wao ndiyo watakaourekebisha. Acha majungu.
 
Kwa makusudi majukwaa yalikuwa empty ila watu wakalazimishwa kukaa kwenye pitch

Kuhusu waandishi nadhani hakuna anataka kuwa azory Agwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…