Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

Sasa utajilipisha faini kwenye mali yako.seikali imeharibu uwanja wake kwahyo itabidi wautengeneze wao wenyewe.mmiliki ndiye aliyeharibu sasa fine ni kwa nani ulitaka?
CCM ndio imeharibu uwanja na sio Serikali.
 
Chadema hamkufurahishwa na ule mkutano!
Utafurahiaje kwa wanaccm kunya kwenye korido kisa wamuone Kiba na Zuchu?

Kosa lenu mnaanza kumpandisha mlengwa (Diamond) jukwaani kisha ndio meneja wake (magu) anamalizia huku mkilazimisha watu wamsikilize meneja.

Umeelewa?
Ni hivi, meneja wa sasa wa Diamond ni mzee Magufuli. Na amefanikisha Diamond kutembelea mikoa mingi na kufanya show za bure
 
Chadema hamkufurahishwa na ule mkutano!
Wewe umefurahishwa na ustaarabu huu, CCM ustaarabu zero unaambiwa na rais alikuwepo je asingekuwepo ingekuwaje.
8C6A3109-64B3-4A3C-A4F7-DAF2F10B7E53.jpeg
 
Jana kulikua na tukio kubwa sana la kampeni la chama cha mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.

Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule sokoine Mbeya.

Tofauti ni kua kule Mbeya kelele za kulaani zilikua nyingi ila kwa Jana kimyaaaa kila mtu anaogopa.
Asiyekubali kuwa CCM is no more ni punguani pekee
 
Wewe umefurahishwa na ustaarabu huu, CCM ustaarabu zero unaambiwa na rais alikuwepo je asingekuwepo ingekuwaje.View attachment 1595446
Dah! Kiukweli hii haikubaliki, inaana hakuna sheria kwenye soka zinazokataza pitch kutumika hivi? Nijuavyo mimi pitch ya mchezo na kuta kwaajili ya ulinzi ni vitu muhimu.

Sasa iweje pitch itendewe hivi?
 
Hivi haujui kuwa ni uwanja wao?.
Bora Simba Wana moo arena
Lakini wale wengine hata kaunda imewashinda kuujenga.
 
Back
Top Bottom