Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

Inasemekana kuwa "Shamba la Bwana Heri na mbuzi ni wa Bwana Heri". Hakuna kesi
 
Sasa utajilipisha faini kwenye mali yako.seikali imeharibu uwanja wake kwahyo itabidi wautengeneze wao wenyewe.mmiliki ndiye aliyeharibu sasa fine ni kwa nani ulitaka?
CCM ndio imeharibu uwanja na sio Serikali.
 
Chadema hamkufurahishwa na ule mkutano!
Utafurahiaje kwa wanaccm kunya kwenye korido kisa wamuone Kiba na Zuchu?

Kosa lenu mnaanza kumpandisha mlengwa (Diamond) jukwaani kisha ndio meneja wake (magu) anamalizia huku mkilazimisha watu wamsikilize meneja.

Umeelewa?
Ni hivi, meneja wa sasa wa Diamond ni mzee Magufuli. Na amefanikisha Diamond kutembelea mikoa mingi na kufanya show za bure
 
Asiyekubali kuwa CCM is no more ni punguani pekee
 
Wewe umefurahishwa na ustaarabu huu, CCM ustaarabu zero unaambiwa na rais alikuwepo je asingekuwepo ingekuwaje.View attachment 1595446
Dah! Kiukweli hii haikubaliki, inaana hakuna sheria kwenye soka zinazokataza pitch kutumika hivi? Nijuavyo mimi pitch ya mchezo na kuta kwaajili ya ulinzi ni vitu muhimu.

Sasa iweje pitch itendewe hivi?
 
Hivi haujui kuwa ni uwanja wao?.
Bora Simba Wana moo arena
Lakini wale wengine hata kaunda imewashinda kuujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…