kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Naanza pata picha kwanini hii mechi iliahirishwaKampeni ni ya muhimu kuliko hayo majani yaliyokanyagwa tutayamwagilia maji tu hakuna shida labda kama una tatizo jingine.Kwanza mechi yetu na wananchi ni mpaka November 7 hapo tutakuwa tumeyamwagilia maji
Haha kisambaa kizuri sana kukulana mighongoWalienda kukulana?
Mbinguni nadhani hakuna mambo ya vyama.CCM imelaaniwa mbinguni na duniani
Afadhari. Kumbe Tanzania bila ukimwi inawezekana.Nasikia zimeokotwa ndoo 20 za condom zilizotumika
Mbinguni nadhani hakuna mambo ya vyama.CCM imelaaniwa mbinguni na duniani
CCM wanaomba ridhaa ili wafanye shughuli za kuboresha maisha ya umma.CCM wanashindwa kutofautisha mali za umma na za chama, wanaona kila kitu ni chao
Hii ndio sababu nchi imebaki maskini mpaka sasa ,
kodi za wananchi wanatumia kumlipa Diomond na wenzake, wakati hospitalini, kupata paracetamol ni shida
Waandaaji wa kampeni wanapanga viti kibao ili kutengenez mazingira ya watu wengi,,
Viti vinachukua nafasi mara mbili ya idadi ya watu kama wangesimama.
Wakikaa kwenye viti watu mia 4 hudhaniwa ni watu mia 8.
dogo kakojoe ukalaleCCM wanaomba ridhaa ili wafanye shughuli za kuboresha maisha ya umma.
Hakuna dhambi kuutumia uwanja wa umma kwa ajili ya kutafuta ruhusa ya kuuongoza umma huo huo.
Ni rahisi sana kuongelea paracetamol ukasahau kuwa awamu hii imejenga hospitali ya kanda kule Mara ambayo marais wanne waliopita walishindwa kuijenga.
Ni rahisi kukosoa kama huna majukumu makubwa kwani uwezo wa akili kuliona eneo pana huwa ni mdogo.
Hapo siyo kuharibika huo ni uchafu ambao unaweza tolewa tu!Jana kulikua na tukio kubwa sana la kampeni la chama cha mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.
Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.
Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikua nyingi ila kwa Jana kimyaaaa kila mtu anaogopa.View attachment 1595489
Magufuli apelekwe Tume ya maadili kuhojiwa.Jana kulikua na tukio kubwa sana la kampeni la chama cha mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.
Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.
Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikua nyingi ila kwa Jana kimyaaaa kila mtu anaogopa.View attachment 1595489
Wametapakaza mapicha ya Magufuli kwenye taa za barabarani wakati wanapaswa kulipia ushuru wa tangazo halmashauri na TRA ,Hawa wapuuzi Mali za umma wanatumia wanavyotakaCCM wanashindwa kutofautisha mali za umma na za chama, wanaona kila kitu ni chao
Hii ndio sababu nchi imebaki maskini mpaka sasa ,
kodi za wananchi wanatumia kumlipa Diomond na wenzake, wakati hospitalini, kupata paracetamol ni shida
Kinyesi kimetapakaaa hawajui hata kufrash shenzi hawa
Hoja yako nini kwenye hili?.Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.
Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.
Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila mtu anaogopa.
View attachment 1595489