Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

Kampeni ni ya muhimu kuliko hayo majani yaliyokanyagwa tutayamwagilia maji tu hakuna shida labda kama una tatizo jingine.Kwanza mechi yetu na wananchi ni mpaka November 7 hapo tutakuwa tumeyamwagilia maji
Naanza pata picha kwanini hii mechi iliahirishwa
 
Kwani hiyo mechi ya kesho trh 11 oct Tanzania vs Burundi itachezewa ktk uwanja gani
 
Walipe tu utengenezwe maana nasikia kuna mechi ya kimataifa hivi karibuni, labda wakachezee Mwanza...
 
"I CAN'T REACH YOU " kwani anasemaje...watu watakao mpigia kura huyu mtu sio wazawa
 
Waandaaji wa kampeni wanapanga viti kibao ili kutengenez mazingira ya watu wengi,,
Viti vinachukua nafasi mara mbili ya idadi ya watu kama wangesimama.
Wakikaa kwenye viti watu mia 4 hudhaniwa ni watu mia 8.
 
CCM wanashindwa kutofautisha mali za umma na za chama, wanaona kila kitu ni chao

Hii ndio sababu nchi imebaki maskini mpaka sasa ,
kodi za wananchi wanatumia kumlipa Diomond na wenzake, wakati hospitalini, kupata paracetamol ni shida
CCM wanaomba ridhaa ili wafanye shughuli za kuboresha maisha ya umma.

Hakuna dhambi kuutumia uwanja wa umma kwa ajili ya kutafuta ruhusa ya kuuongoza umma huo huo.

Ni rahisi sana kuongelea paracetamol ukasahau kuwa awamu hii imejenga hospitali ya kanda kule Mara ambayo marais wanne waliopita walishindwa kuijenga.

Ni rahisi kukosoa kama huna majukumu makubwa kwani uwezo wa akili kuliona eneo pana huwa ni mdogo.
 
Ni bora watu wakae kuliko kusimama kumbuka pale ni juani.
 
CCM wanaomba ridhaa ili wafanye shughuli za kuboresha maisha ya umma.

Hakuna dhambi kuutumia uwanja wa umma kwa ajili ya kutafuta ruhusa ya kuuongoza umma huo huo.

Ni rahisi sana kuongelea paracetamol ukasahau kuwa awamu hii imejenga hospitali ya kanda kule Mara ambayo marais wanne waliopita walishindwa kuijenga.

Ni rahisi kukosoa kama huna majukumu makubwa kwani uwezo wa akili kuliona eneo pana huwa ni mdogo.
dogo kakojoe ukalale
mwaka 2015 chadema walinyimwa uwanja wa taifa kwa kigezo shughuli za siasa ,hazihusiani na za kitaifa,,ulikuwa umezaliwa au ulikuwa bado upo kwenye mkanda wa baba yako?
ccm inatumia pesa na mali za serikali kwa ajili ya mambo yao ya ufisadi ,,full stop
 
Jana kulikua na tukio kubwa sana la kampeni la chama cha mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.

Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.

Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikua nyingi ila kwa Jana kimyaaaa kila mtu anaogopa.View attachment 1595489
Hapo siyo kuharibika huo ni uchafu ambao unaweza tolewa tu!
 
Jana kulikua na tukio kubwa sana la kampeni la chama cha mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.

Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.

Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikua nyingi ila kwa Jana kimyaaaa kila mtu anaogopa.View attachment 1595489
Magufuli apelekwe Tume ya maadili kuhojiwa.
 
Niko naangalia mechi ya Taifa Stars dhidi ya Burundi. Kusema ukweli uwanja umepoteza ubora wake kabisa kutokana na uharibifu uliofanywa na CCM. Hapa nilipo hasira zimenijaa na ghafla nimekichukia chama kabisaa!

Mlichokifanya ni ubabe wa kijinga. Aafu kesho kwenye kampeni mtasema eti mnasapoti michezo kwa namna ipi? Viwanja vyote tumeawaachia mmeona haitosho mmejimilikisha tena uwanja wetu wa Taifa.Shame on you!!
 
CCM wanashindwa kutofautisha mali za umma na za chama, wanaona kila kitu ni chao

Hii ndio sababu nchi imebaki maskini mpaka sasa ,
kodi za wananchi wanatumia kumlipa Diomond na wenzake, wakati hospitalini, kupata paracetamol ni shida
Wametapakaza mapicha ya Magufuli kwenye taa za barabarani wakati wanapaswa kulipia ushuru wa tangazo halmashauri na TRA ,Hawa wapuuzi Mali za umma wanatumia wanavyotaka
 
Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.

Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.

Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila mtu anaogopa.

View attachment 1595489
Hoja yako nini kwenye hili?.
 
Attachments

  • Screenshot_20201011-172525.jpg
    Screenshot_20201011-172525.jpg
    43.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom