kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hivi awa waamuzi kutoziona izi penalty wanazo stahili kupata Yanga ni makosa ya kibinadamu au ndio rushwa michezoni. Maana linaonekana Kama Jambo linalo endelea na mbaka sasa halionyeshi mabadiliko. Awa wachezaji wa Yanga ni binadamu Kama wengine wanavyo porwa ushindi kwa njia Kama hizi kunasiku uvumilivu utawashinda watajichukulia hatua. Bodi ya Ligi iwe makini Kuna Jambo si la kawaida linafanyika kuvuruga mpira.
Huyu refa wa Leo ae zake na lineone wake11': Yanga 0-1 Kagera - Malyanzi
13': Yanga 1-1 Kagera Kisinda (p)....
Mie ni yanga pure,ila kwa meci ya leo,cedric kaze kafeli na huenda akafukuzwa mapema saana
Uwezo wao umeishia pale, mwaka huu watalia sana uwanjani haswa pale wanapoenda na magoli yao mfukoniKagera wamecheza mpira mzuri wakiwa wametulia. Yanga wamecheza kwa presha. Yanga inabidi watulie. Mpira ni mchezo wa makosa.
Kama Yanga wataendelea kucheza kwa presha hii, hata nafasi ya pili hawata ipata.
Presha ya mashabiki, presha ya viongozi ni shida.
Hata mchezaji mzuri atashindwa kucheza kwa kiwango chake.
Utalaumu bure waamizi lakini hii game kocha ndio kazingua. Anafanyaje majaribio ya wachezaji wakati mechi muhimu inayohitaji point 3. Haya tayari ameshaona kuwa kuna tatizo la Mauya, kwanini ilivyokuwa goli mbili kwa mbili asingefanya sub ya kumtoa Mauya na kumuingiza Mukoko.Hivi awa waamuzi kutoziona izi penalty wanazo stahili kupata Yanga ni makosa ya kibinadamu au ndio rushwa michezoni. Maana linaonekana Kama Jambo linalo endelea na mbaka sasa halionyeshi mabadiliko. Awa wachezaji wa Yanga ni binadamu Kama wengine wanavyo porwa ushindi kwa njia Kama hizi kunasiku uvumilivu utawashinda watajichukulia hatua. Bodi ya Ligi iwe makini Kuna Jambo si la kawaida linafanyika kuvuruga mpira.
Mpira hauna fomesheni, ni puta puta tu, cha msingi mpate goli.Uwezo wao umeishia pale, mwaka huu watalia sana uwanjani haswa pale wanapoenda na magoli yao mfukoni
Akili zao kweli za kiutopoloYanga wenyewe wanachotaka ni kumaliza ligi bila kufungwa baasi. Ndiyo maana wanashangilia droo utopolo.
Cedric kaze amefeli na atafukuzwa soon,pamoha na kwamba mie ni yanga11': Yanga 0-1 Kagera - Malyanzi
13': Yanga 1-1 Kagera Kisinda (p)
24':Yanga 1-2 Kagera - Mwaterema
30': Yanga 2-2 Kagera - Kaseke
45': Yanga 2-3 Kagera - Mhilu
61': Yanga 3-3 Kagera - Tonombe
Mpira umekamilika Uwanja wa Mkapa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na wamegawana pointi.
FT | YANGA 3 - 3 KAGERA
Makubaliano ni kuwa kwa kuwa Sarpong na Fiston wanasemwa sana leo wapate nafasi ya kufunga. Wote au mmoja wapo hatakosa kuondoka na Goal.
Ila kubwa na la msingi ni kuwa iwe mvua liwe jua leo lazima Yanga tushinde. Match iliisha jana. Meck Mexime au Wanakagera Sugar hawana ugomvi na Yanga. Hawana haja ya kucheza kwa kukamia. Mpira ni starehe wanapaswa wacheze kwa ku relax.
Wanayanga popote mlipo leo muwe na amani na furaha. Achaneni na match ya Mbeya wale wanyak wapuuzi walijifanya wanaume sana.
Leo tupo na Wahaya. Hawa hatuna shida nao tunawafahamu. Hawana moyo Mgumu. Points tatu muhimu. Kocha wa Kagera Sugar anafahamu umuhimu wa sisi kupata points 3.
Halafu wewe ulinitukana mahali flaniYanga wenyewe wanachotaka ni kumaliza ligi bila kufungwa baasi. Ndiyo maana wanashangilia droo utopolo.
Nilikutukanaje?Halafu wewe ulinitukana mahali flani
Nakuhakikishia kama sio upendo wangu ungeiishia kusiko julikana
Nimekusamehe na usirudie tena.
nasema tena usirudie.
Mi niache nizungumze ninacho penda.
Mod anza kunoa jambia