Uwanja wa Mpira Dodoma: Ndoto au Uhalisia?

KIXI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
1,955
Reaction score
2,465
Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa.

Swali langu ni, huu uwanja unajengwa kweli au ndoto hizi ziliondoka pamoja na Mzee wetu aliyekuwa na maono hayo?

Kama kuna yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu hatua zilizofikiwa au changamoto zinazokwamisha mradi huu, naomba atujuze
 
Fanya kazi. Kuwa bize, tafuta pesa sana.
 
mkuu tuliamua tubane bajeti kdgo, zile pesa tulitumia kupakia rangi ya bendera yetu ya taifa ule uwanja wetu wa zaman wa dodoma,pia pesa zngne tulimpa mbowe kwenye yale malidhiano ili aendelee kuwa upande wet.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom