Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya hapo, serikali ilitangaza kujenga uwanja kwa kutumia fedha za ndani. Mchakato wa usanifu ulianza enzi za utawala wa Rais Magufuli, ambapo ilipangwa kujengwa uwanja wenye uwezo wa kubeba watazamaji 100,000. Hata hivyo, baada ya serikali ya Mama kuingia madarakani, iliamua kubadili mpango huo na kupanga kujenga uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 30,000. Tangu wakati huo, hakuna maendeleo yaliyotangazwa hadi sasa.Mfalme wa Morocco alidanganya ili apate kujenga mosque Tanzania
Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa.
Swali langu ni, huu uwanja unajengwa kweli au ndoto hizi ziliondoka pamoja na Mzee wetu aliyekuwa na maono hayo?
Kama kuna yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu hatua zilizofikiwa au changamoto zinazokwamisha mradi huu, naomba atujuze
ok nimeona huo uwanja kwa fedha za serikali utajengwa,uwe na subira maana dodoma ipo kwenye planpitia coment yangu number 23
Few moments later:Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa.
Swali langu ni, huu uwanja unajengwa kweli au ndoto hizi ziliondoka pamoja na Mzee wetu aliyekuwa na maono hayo?
Kama kuna yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu hatua zilizofikiwa au changamoto zinazokwamisha mradi huu, naomba atujuze
Hapo ni makuu ya nchi ni lazima pia pawe na uwanja,lakini afcon inataka uwanja hapoKwani Dodoma kuna timu gani ya mpira?
Mnataka uwanja wa mpira au uwanja wa gwaride?
Uwanja wa timu gani? Timu gani itacheza kwenye huo uwanja kama uwanja wa nyumbani? Hujajibu swali.Hapo ni makuu ya nchi ni lazima pia pawe na uwanja,lakini afcon inataka uwanja hapo
Uwanja haujengwi kwa sababu timu gani itachezaUwanja wa timu gani? Timu gani itacheza kwenye huo uwanja kama uwanja wa nyumbani? Hujajibu swali.
Mnataka kujenga uwanja mji hauna timu? Huo uwanja utatumika mashindano ya Afcon halafu yakiisha uwe unatumika kwa magwaride tu au utatumika vipi?
Mnataka kujenga uwanja bila kufikiria Return On Investment itachukua muda gani?
Ila unajengwa kufugia sungura?Uwanja haujengwi kwa sababu timu gani itacheza
kumbuka dodoma ni mji mkuu wa nchi na huo uwanja unaojengwa,upo kwenye masyer plan ya dodoma na ni sports stadium,kwa michezo yote sio mpira wa miguu tuIla unajengwa kufugia sungura?
Ndiyo maana hamuwezi kumaliza umasikini.
Hamjui uwanja unatumia pesa nyingi kuujenga na kuu maintain.
Michezo ni biashara, watu wanajenga uwanja kwa business plan, na projection za investment.
Kujenga uwanja ili uwe na uwanja tu ni mambo ya kizamani.