fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Uwanja huo sio wa serikali ni wa ccm,pia ni mdogo,setikali inajenga uwanja wakeWasingejenga uwanja mpya kwa Dodoma. Jamuhuri unhefanyiwa matengenezo makubwa kama Amaan umngependeza tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja huo sio wa serikali ni wa ccm,pia ni mdogo,setikali inajenga uwanja wakeWasingejenga uwanja mpya kwa Dodoma. Jamuhuri unhefanyiwa matengenezo makubwa kama Amaan umngependeza tu....
Yule mfalme wa Morocco alitupiga. Alisema atatujengea msikiti Dar na uwanja Dodoma. Baada ya kujenga msikiti hakurudi tenaWadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa.
Swali langu ni, huu uwanja unajengwa kweli au ndoto hizi ziliondoka pamoja na Mzee wetu aliyekuwa na maono hayo?
Kama kuna yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu hatua zilizofikiwa au changamoto zinazokwamisha mradi huu, naomba atujuze
Dodoma yenyewe kufanywa mji mkuu wa nchi ni costly mistake.kumbuka dodoma ni mji mkuu wa nchi na huo uwanja unaojengwa,upo kwenye masyer plan ya dodoma na ni sports stadium,kwa michezo yote sio mpira wa miguu tu
Kwanza sijui kama unanielewa huo ni sports stadium hivyo michezo yote itachezwa hapo,na pia sio lazima timu za tanzania tu zicheze hapo timu za nchi za nje zitaomna kucheza hapo pia,na kwa taarifa yako baadhi ya majirani zetu wataomna kucheza na kufanya mazoezi hapo,hata kwenye ligi kuu baadhi ya timu zitauchagua uwanja huo kuwa ni uwanja wao,tulia ndugu huo uwanja unaanufaa makubwaDodoma yenyewe kufanywa mji mkuu wa nchi ni costly mistake.
Ndiyo maana nakuuliza timu ya mji mkuu wa nchi ni ipi, unashindwa kunijibu.
Hapo mmefanya Garbage In Garbage Out.
Mmelazimisha kujenga mji mkuu Dodoma bila mpango, mji mkuu hauna timu, sasa mnalazimisha kujenga uwanja wa mpira ambao mtautumia kwa magwaride.
Hapo hapo uwanja utakuwa wa gharama kubwa ya ujenzi na maintenance.
Kwenye nchi yenye mambo mengi ya kufanya na pesa kidogo.
Halafu mnashangaa kwa nini mna umasikini!
Nimekuuliza habari za Return On Investment, ambayo inataka kuwe na timu maalum ya kutumia uwanja kama "home ground" ili hesabu zikae vizuri.Kwanza sijui kama unanielewa huo ni sports stadium hivyo michezo yote itachezwa hapo,na pia sio lazima timu za tanzania tu zicheze hapo timu za nchi za nje zitaomna kucheza hapo pia,na kwa taarifa yako baadhi ya majirani zetu wataomna kucheza na kufanya mazoezi hapo,hata kwenye ligi kuu baadhi ya timu zitauchagua uwanja huo kuwa ni uwanja wao,tulia ndugu huo uwanja unaanufaa makubwa
Huo wa Jamhuri umekaa pabaya.Wasingejenga uwanja mpya kwa Dodoma. Jamuhuri unhefanyiwa matengenezo makubwa kama Amaan umngependeza tu....
Kwa mahudhurio ya mashabiki Tz hata ukijengwa wa kuingiza watu 25elfu utatosha sanaDodoma yenyewe kufanywa mji mkuu wa nchi ni costly mistake.
Ndiyo maana nakuuliza timu ya mji mkuu wa nchi ni ipi, unashindwa kunijibu.
Hapo mmefanya Garbage In Garbage Out.
Mmelazimisha kujenga mji mkuu Dodoma bila mpango, mji mkuu hauna timu, sasa mnalazimisha kujenga uwanja wa mpira ambao mtautumia kwa magwaride.
Hapo hapo uwanja utakuwa wa gharama kubwa ya ujenzi na maintenance.
Kwenye nchi yenye mambo mengi ya kufanya na pesa kidogo.
Halafu mnashangaa kwa nini mna umasikini!
Wapi nimesema kusiwe na uwanja? Unajua kusoma kwa ufahamu?Kwa mahudhurio ya mashabiki Tz hata ukijengwa wa kuingiza watu 25elfu utatosha sana
Kuhusu timu kwani Dodoma jiji sio timu?
Timu ya Taifa inaweza kuutumia pia maana msalato airpot ikikamilika maana yake usafiri uhakika, kuna Sgr to Dom. Sasa why kusiwe na uwanja?
Dah!Toka Magufuri afe dodoma imesahulika mazima
Hiyo return on investment ni lazima iandikwe kwa kingereza tu? Hebu andika kwa kiswahili halafu jenga hoja uelewekeNimekuuliza habari za Return On Investment, ambayo inataka kuwe na timu maalum ya kutumia uwanja kama "home ground" ili hesabu zikae vizuri.
Lakini inaonekana huelewi hata "Return On Investment" ni nini na umuhimu wa kuwa na home team ya kutumia uwanja huo ni nini.
Huelewi kuwa uwanja ni biashara.
Unafikiri uwanja utajiendesha kwa miujiza tu.
Uongo mkuuToka Magufuri afe dodoma imesahulika mazima
Hujaweza kunilazimisha kuandika unavyotaka wewe. Naandika Return On Investment.Hiyo return on investment ni lazima iandikwe kwa kingereza tu? Hebu andika kwa kiswahili halafu jenga hoja ueleweke
aliacha wameanza kusanifu nafikili angekuwepo kungekuwa na progressMAGUFULI MWENYEWE ALIKUWA MUONGO MUONGO SANA.
MIRADI MINGI YA DODOMA ILIKUWA NA UONGO
UWANJA ULIKUWA UJENGWE NA MFALME WA MOROCO TANGU 2017 YEYE AMEONDOKA 2021 MIAKA 4 HAKUFANYA KITU CHOCHOTE SHAME.
samahani huwa unafuatlia mpira hata kidogo, unasema Dodoma hakuna timu???Uwanja wa timu gani? Timu gani itacheza kwenye huo uwanja kama uwanja wa nyumbani? Hujajibu swali.
Mnataka kujenga uwanja mji hauna timu? Huo uwanja utatumika mashindano ya Afcon halafu yakiisha uwe unatumika kwa magwaride tu au utatumika vipi?
Mnataka kujenga uwanja bila kufikiria Return On Investment itachukua muda gani?
Dodoma Jiji inacheza chumbani kwako?? usifanye mambo bila kufikiri na kutumia akili,Dodoma yenyewe kufanywa mji mkuu wa nchi ni costly mistake.