Shida ni kuona kuwa Dodoma hakustahili kujengwa uwanja na kuwa makao makuu kwa sababu za kitoto kabisa
Hapana. Hakuna popote ambapo nimesema hivyo.
Watanzania wengi kama wewe tatizo lenu ni kwamba hamuwezi kujadili hoja, mnajadili mambo kwa hisia, mnajadili watu badala ya hoja.
This logical fallacy is called ad hominem.
Mimi nikija na hoja za kusema hapa ni vizuri kuendesha mambo kibiashara, miji ikakua kibiashara bila kutegemea serikali, viwanja vikawa self sustaining, hata kukiwa na hela za serikali zimetolewa, kuwe na mipango ya kupata Return on Investment mapema iwezekanavyo, nikitoa hoja zote hizo za kifalsafa inaonekana huzielewi.
Tatizo ama wewe huelewi hoja, hujui ROI ni nini, huwezi kuchambua hoja kifalsafa (ambazo zipo nyingi tu za kupinga upande wangu) unaishia maneno ya kingumbaru tu ya chuki, wivu, husda.
Ama ni mvivu wa tabia tu.
Una tatizo la elimu ama uvivu.
Yote majanga.
Nilitegemea mtu aje kunipinga kifalsafa, kuonesha viwanja ni public good, kuonesha mifano. Si9ni hoja za kifalsafa (ambazo zipo nyingi tu).
Kwa sababu watu ama wajinga, ama wavivu.
Pengine wajinga na wavivu.
Natumia neno wajinga si kama tusi bali kuelezea hali ya kutojua kitu.