Kuna tofauti ya kutaka kujenga uwanja tu na kutaka kujenga uwanja ujiendeshe kibiashara.
Naona tofauti watu wanataka uwanja tu, wakati mimi nataka uwanja unaoweza kujiendesha wenyewe kibiashara.
Uwanja ni biashara, michezo ni biashara. Ndiyo maana naongea habari ya Return On Investment.
Hata hiyo nyumba kama hesabu za Return On Investment hazijakaa vizuri, na ungeweza kupata faida zaidi kwa biashara nyingine, kujenga hiyo nyumba inawezekana kabisa ikawa inakugharimu (kodi, ukarabati, opportunity cost, etc) kuliko inavyokupa faida.