Long termusanifu gani toka 2017, usanifu miaka 8 seriously?
Mtanyooka tukweli
Fanya kazi. Kuwa bize, tafuta pesa sana.Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa.
Swali langu ni, huu uwanja unajengwa kweli au ndoto hizi ziliondoka pamoja na Mzee wetu aliyekuwa na maono hayo?
Kama kuna yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu hatua zilizofikiwa au changamoto zinazokwamisha mradi huu, naomba atujuze
Kwani Magufuri alikuwa Rais wa Dodoma!?Toka Magufuri afe dodoma imesahulika mazima