Uwanja wa ndege wa Chato ni chaguo sahihi la Bukoba

Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba manispaa,ila sababu zilizo nje ya uwezo zililazimisha uwanja kuendelea kuwa pale katikati ya mji na kuugawa mji katikati,kama kuupanua uwanja wa sasa wa Bukoba ilishauriwa kuvunjwa kwa uwanja wa mpira wa kaitaba na mtaa wote wa kashozi kupisha upanuzi wa Uwanja ila haikuwezekana.

Siku kumi na moja zilizopita ndege ya Precision ilipata ajali kwa sababu ya hali ya hewa mbaya,pia leo Atcl imegeuza na kwenda kutua Mwanza kwa sababu bukoba hali ya hewa ilikua mbaya,swali je kiwanja kipya kitasaidia kufanya hali ya hewa kua nzuri? watu wanasema siasa zimeanza kuingia hapo,wahaya wanataka airport mpya kijanja kwa kutumia kivuli cha ajali, wengine wanasema Uwanja wa J F Kennedy New York safari zinaahirishwa sababu ya matatizo ya hali ya hewa,ndio iwe huu wa Bukoba jamaa zangu wahaya wanaotaka wajengewe?!

Ni kweli uwanja nahisi ni mfupi wakati ndege ikitua (touch down) utasikia kishindo kikubwa tofauti na viwanja vingine na abiria wamekuwa wakilialamikia tatizo mara kadhaaa,lakini suala la uwanja sio mfupi kivile kulingana na ndege zinazoruhusiwa kutua hapo run way ina urefu wa kilomita 1.5,ambayo ni sawa kabisa,na kawaida katika uwanja wa Bukoba,ndege zinapokuwa zina take off,huwa zinatumia kama 60% tu ya uwanja zinakuwa zimesha paa hivyo hivyo wakati wa kutua kwa hiyo hilo sio tatizo kwa sasa,Issue ya runway inategemea aina ya ndege! zile ATR za Precision Air na hizi Bomberdiear sio issue kabisa! Huwezi kukuta Airbus au Boeing 787 haiwez ruhusiwa kwenda Bukoba kutua ata sikumoja.

Issue ya Bukoba actually ni hali ya hewa kwa kesi hizi za sasa tunazosikia,issue yakuhamisha uwanja mwingine ilikuwa ni kutokuwa na nafasi ya kuongeza kwa hii Airport yasasa,watu walisema pale ulipotaka ukahamishiwe yaani omkajunguti ilishindikana si kwasababu za kisiasa au mtu binafsi ila baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja wa omkajunguti inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi! hali hii ilionekana kuwa ni hatari sababu ikitokea hizo nchi mbili zimefunga anga lake uwanja wa ndege huo usingekuwa unafanya kazi nao ungefungwa,haafu pia ingetakiwa uwe unalipia katika anga la Rwanda au Burundi kila inapotaka kutua au kupaa.

Sasa je,watu wapande kisbo na Mohamed Trans wakifika Mwanza kwa ndege,wamalizie Kagera?kwanini rubani asitue Chato mpaka aende mwanza? Kwanini ameenda mpaka mwanza wakati kuna chato international airport hapo karibu,kama Bukoba Airport ipo Analogy!! Iakini Chato ni digital na ina Automatic systems ndege inatua yenyewe ata kama kuna Ukungu au umeme umekatika etc! tutumie Chato iliyojengwa juzi ambayo ni ya kisasa na ina automation! kama hata dege za atcl ambazo ni mpya na zina auto pilot haziwezi shuka Bukoba Airport basi chaguo sahihi la Bukoba ni Chato International Airport,na usafiri wa mwendokasi uwepo kuanzia Chato hadi Bukoba ambapo ni kilomita 221.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Yani untaka wanaenda kagera eakatue geita Wapende basi kwenda kagera? Keanini tusilaani ubinafsi na chuki za dikteta Magufuli aliyehamishwa mradi omukajunguti na kuupeleka kwa Chato japo huko hakuna abiria wala shughuli za kiuchumi kuuharalisha ?
 
Pathetic masters holder unaandika upumbafu kiasi hiki. Vyuo vyetu vinahitaji major overhaul.
Unaandika vitu usivyovijua na kujaza ujinga jf
 
Kujenga uwanja mkubwa wa kimataifa Omujakajunguti Bukoba itakuwa ni ufujaji wa fedha za serikali,tayari kuna Chato international airport,mipango inaendelea ya kuifanya Mwanza airport kuwa international sasa kutakuwa na viwanja 3 vyenye hadhi ya kimataifa eneo moja. Loo huu utakuwa upendeleo wa kipekee kanda ya ziwa.Mimi nadhani uwanja wa ndege wa Bukoba uboreshwe tu kwa kuweka taa na automation systems za kusaidia kurudi na na kutua salama pia control tower, na kuboresha miundo mbinu ya uokoaji. Tatizo hapa ni hali ya hewa nayo siyo kila siku ajali moja tu,watu wanataka watumie kigezo hicho kupata uwanja mwingine, tungoje taarifa ya uchunguzi wa ajali tujue sababu pengine ni matairi,kuishiwa mafuta au makosa ya kibinadamu yalisababisha ajali,tusikimbilie uwanja. Mbona ATCL jana amefaulu kurudi Mwanza.Tuache siasa, na marubani na idara za viwanja na hali ya hewa wawe makini kwa hili wafanye kazi kama wanataaluma wasiingiliwe na siasa za maendeleo kimaeneo. Iwapo kuna shida ya uwanja marubani wana haki ya kutorusha ndege kwenda eneo hilo hadi kiboreshwe.
Eti eneo moja....nimeishia kusoma hapo...hiv chato ni international airport?

Hiv unajua umbali wa kutoka Bukoba kwenda mwanza ni km zaidi ya 400 sawa na kutoka KIA na JNIA...

Eneo lipo, watu washalipwa fidia Huko kajunguti.....kinachosubiriwa ni ujenzi tu....

Uwanja wa Bukoba ni hatarishi....hebu soma hapa
Screenshot_20221117-214521.jpg
 
kagera...hata hapo Bukoba mjini eneo la kujenga stendi ya mabasi lipogo toka 2008..lakin hadi leo wanazozana wao CCM...hakujawahi kupatikana hela za ujenzi wa stendi mpya...na ushuru unakusanywa hapo kila basi 10k stendi ya sasa ambayo ni matope mda wote
Sasa hela haipatikani vipi na unasema ushuru unakusanywa daily? Madiwani wanasubiri Rais aje awapangie matumizi ya fedha yao wenyewe (mapato ya ndani)?
 
Ule uwanja wa chato una nuksi nani autumie bana !!
 
Akili ndogo zinaposimamia atcl, haya matatizo lazima yatokee, kwa kipindi hiki cha mvua mfululizo Bukoba, ilitakiwa ndege zije Bukoba jioni ( saa8-11). Mara nyingi Bukoba mvua zinakata saa 7
 
Sasa hela haipatikani vipi na unasema ushuru unakusanywa daily? Madiwani wanasubiri Rais aje awapangie matumizi ya fedha yao wenyewe (mapato ya ndani)?
Unafikiri hawataki na hawawezi? Basi siasa za nchi hii...

2012 ujenzi ulikuwa umeishaanza...CCM wao kwa wao wakaanza kubishana hadi ujenzi ukastopishwa...

2015 chadema wakachukua jimbo...nadhani unakumbuka siasa z mwendazake kwa majimbo ya upinzani...manispaa ilijikongoja ikaanza kujenga stendi walau parking...2019 dc kinawiro wa Bukoba enzi hizo akapiga stop et mpaka hela nyingi zitakapopatikana...ujenzi wa stendi ungewapa credit chadema kuchukua jimbo hilo 2020

2020 CCM ikachukua jimbo...hadi leo 2023 tunaenda hakuna ujenzi wowote unaoendelea...
Wanasema wanataka ijengwe stendi ya kimataifa
Ambayo hela za ujenzi wake hazijapatikana hadi leo...

2022 ...sasa amekuja huyu Mropokaji chalamila ndo anataka kurudisha mgogoro kabisaaaa..eti anata stendu ihamishwe hata hapo ujenzi ulipo kyakairabwa watafute sehemu nyingine...naona dalili tena wanataka wabishane tena kama wanavyofnya kule Arusha...
 
Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba manispaa,ila sababu zilizo nje ya uwezo zililazimisha uwanja kuendelea kuwa pale katikati ya mji na kuugawa mji katikati,kama kuupanua uwanja wa sasa wa Bukoba ilishauriwa kuvunjwa kwa uwanja wa mpira wa kaitaba na mtaa wote wa kashozi kupisha upanuzi wa Uwanja ila haikuwezekana.

Siku kumi na moja zilizopita ndege ya Precision ilipata ajali kwa sababu ya hali ya hewa mbaya,pia leo Atcl imegeuza na kwenda kutua Mwanza kwa sababu bukoba hali ya hewa ilikua mbaya,swali je kiwanja kipya kitasaidia kufanya hali ya hewa kua nzuri? watu wanasema siasa zimeanza kuingia hapo,wahaya wanataka airport mpya kijanja kwa kutumia kivuli cha ajali, wengine wanasema Uwanja wa J F Kennedy New York safari zinaahirishwa sababu ya matatizo ya hali ya hewa,ndio iwe huu wa Bukoba jamaa zangu wahaya wanaotaka wajengewe?!

Ni kweli uwanja nahisi ni mfupi wakati ndege ikitua (touch down) utasikia kishindo kikubwa tofauti na viwanja vingine na abiria wamekuwa wakilialamikia tatizo mara kadhaaa,lakini suala la uwanja sio mfupi kivile kulingana na ndege zinazoruhusiwa kutua hapo run way ina urefu wa kilomita 1.5,ambayo ni sawa kabisa,na kawaida katika uwanja wa Bukoba,ndege zinapokuwa zina take off,huwa zinatumia kama 60% tu ya uwanja zinakuwa zimesha paa hivyo hivyo wakati wa kutua kwa hiyo hilo sio tatizo kwa sasa,Issue ya runway inategemea aina ya ndege! zile ATR za Precision Air na hizi Bomberdiear sio issue kabisa! Huwezi kukuta Airbus au Boeing 787 haiwez ruhusiwa kwenda Bukoba kutua ata sikumoja.

Issue ya Bukoba actually ni hali ya hewa kwa kesi hizi za sasa tunazosikia,issue yakuhamisha uwanja mwingine ilikuwa ni kutokuwa na nafasi ya kuongeza kwa hii Airport yasasa,watu walisema pale ulipotaka ukahamishiwe yaani omkajunguti ilishindikana si kwasababu za kisiasa au mtu binafsi ila baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja wa omkajunguti inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi! hali hii ilionekana kuwa ni hatari sababu ikitokea hizo nchi mbili zimefunga anga lake uwanja wa ndege huo usingekuwa unafanya kazi nao ungefungwa,haafu pia ingetakiwa uwe unalipia katika anga la Rwanda au Burundi kila inapotaka kutua au kupaa.

Sasa je,watu wapande kisbo na Mohamed Trans wakifika Mwanza kwa ndege,wamalizie Kagera?kwanini rubani asitue Chato mpaka aende mwanza? Kwanini ameenda mpaka mwanza wakati kuna chato international airport hapo karibu,kama Bukoba Airport ipo Analogy!! Iakini Chato ni digital na ina Automatic systems ndege inatua yenyewe ata kama kuna Ukungu au umeme umekatika etc! tutumie Chato iliyojengwa juzi ambayo ni ya kisasa na ina automation! kama hata dege za atcl ambazo ni mpya na zina auto pilot haziwezi shuka Bukoba Airport basi chaguo sahihi la Bukoba ni Chato International Airport,na usafiri wa mwendokasi uwepo kuanzia Chato hadi Bukoba ambapo ni kilomita 221.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.

Nani kakwambia Chato ina automatic systems, hivi nyie watu mbona waongo na wajinga sana, mnaandika vitu havipo kabisa..

Chato haina vifaa vya precision Approach.. So vile vile kukiwa na ukungu mkali, ndege haiwezi tua hadi rubani awe visual, yaani aone kiwanja.. Ww unasema ndege inatua yenyewe Chato? Hivi hivyo vyeti vya elimu umeandika hapo ni vile vya kudesa desa vyuoni, unakuja tuandikia utumbo humu? Nasty headed, low IQ kabisa.. Hivi hizi elimu mnanunua huko vyuoni au? Hujui chochote kuhusu aviation, alafu unaandika utumbo mtupu
 
.2019 dc kinawiro wa Bukoba enzi hizo akapiga stop et mpaka hela nyingi zitakapopatikana...ujenzi wa stendi ungewapa credit chadema kuchukua jimbo hilo 2020
Ingawa nakubaliana na wewe kuwa siasa za 2015-2020 zilikuwa za majitaka na za kihalifu, nitofautiane nawe kidogo kwenye mitazamo ya hawa madiwani wetu (bila kujali vyama walivyotokea). Madiwani hawajitambui kuwa wao ni mamlaka kamili na hivyo wanaweza kupanga matumizi ya fedha za ndani watakavyo, DC anapaswa kuingilia kati pale ambapo fedha ya mradi (imetoka nje ya pato la ndani) ikionekana inatumika isivyo au kwa mradi usio na maslahi (DC anaiwakilisha serikali kuu - kwa hiyo ni sawa kulinda maslahi ya serikali kuu), ila madiwani wanawakilisha wananchi, unless walalamikaji wawe ni wananchi wenyewe kuwa mradi X hauna maslahi kwao.

Sasa madiwani wetu wengi hawatambui nguvu iliyonayo mamlaka wanayoiunda ama hawajui (elimu) kuwa wana nguvu hizo. Halmashauri zinaweza hata kushtaki mahakamani kwa agizo/tamko wanaloliona ni batili kwao, mfano Rais akataze fedha za ndani kujenga barabara kwa sababu tu barabara zipo chini ya TARURA, halafu TARURA muda huo hawana fedha huku Halmashauri ina fedha kibao za kutosha kujenga barabara na wananchi wanapata tabu, ila sasa wao watabaki kung'ang'ania kuwa barabara ni za TARURA wao hawana nguvu au mamlaka ya kuzitengeneza. Wamekaririshwa na hao maTARURA nk

Sasa kupata madiwani wenye kujielewa hapo napo ni mtihani, ingawa mwisho wa siku haya mambo ya u-vyama yanaturudisha sana nyuma. Diwani hawi huru bali kila muda kupokea maelezo ya chama chake
 
Ingawa nakubaliana na wewe kuwa siasa za 2015-2020 zilikuwa za majitaka na za kihalifu, nitofautiane nawe kidogo kwenye mitazamo ya hawa madiwani wetu (bila kujali vyama walivyotokea). Madiwani hawajitambui kuwa wao ni mamlaka kamili na hivyo wanaweza kupanga matumizi ya fedha za ndani watakavyo, DC anapaswa kuingilia kati pale ambapo fedha ya mradi (imetoka nje ya pato la ndani) ikionekana inatumika isivyo au kwa mradi usio na maslahi (DC anaiwakilisha serikali kuu - kwa hiyo ni sawa kulinda maslahi ya serikali kuu), ila madiwani wanawakilisha wananchi, unless walalamikaji wawe ni wananchi wenyewe kuwa mradi X hauna maslahi kwao.

Sasa madiwani wetu wengi hawatambui nguvu iliyonayo mamlaka wanayoiunda ama hawajui (elimu) kuwa wana nguvu hizo. Halmashauri zinaweza hata kushtaki mahakamani kwa agizo/tamko wanaloliona ni batili kwao, mfano Rais akataze fedha za ndani kujenga barabara kwa sababu tu ni za TARURA, halafu TARURA muda huo hawana fedha huku Halmashauri ina fedha kibao za kutosha kujenga barabara na wananchi wanapata tabu, ila sasa wao watabaki kung'ang'ania kuwa barabara ni za TARURA wao hawana nguvu au mamlaka ya kuzitengeneza. Wamekaririshwa na hao maTARURA nk

Sasa kupata madiwani wenye kujielewa hapo napo ni mtihani, ingawa mwisho wa siku haya mambo ya u-vyama yanaturudisha sana nyuma. Diwani hawi huru bali kila muda kupokea maelezo ya chama chake
Naunga mkono hoja
 
Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba manispaa,ila sababu zilizo nje ya uwezo zililazimisha uwanja kuendelea kuwa pale katikati ya mji na kuugawa mji katikati,kama kuupanua uwanja wa sasa wa Bukoba ilishauriwa kuvunjwa kwa uwanja wa mpira wa kaitaba na mtaa wote wa kashozi kupisha upanuzi wa Uwanja ila haikuwezekana.

Siku kumi na moja zilizopita ndege ya Precision ilipata ajali kwa sababu ya hali ya hewa mbaya,pia leo Atcl imegeuza na kwenda kutua Mwanza kwa sababu bukoba hali ya hewa ilikua mbaya,swali je kiwanja kipya kitasaidia kufanya hali ya hewa kua nzuri? watu wanasema siasa zimeanza kuingia hapo,wahaya wanataka airport mpya kijanja kwa kutumia kivuli cha ajali, wengine wanasema Uwanja wa J F Kennedy New York safari zinaahirishwa sababu ya matatizo ya hali ya hewa,ndio iwe huu wa Bukoba jamaa zangu wahaya wanaotaka wajengewe?!

Ni kweli uwanja nahisi ni mfupi wakati ndege ikitua (touch down) utasikia kishindo kikubwa tofauti na viwanja vingine na abiria wamekuwa wakilialamikia tatizo mara kadhaaa,lakini suala la uwanja sio mfupi kivile kulingana na ndege zinazoruhusiwa kutua hapo run way ina urefu wa kilomita 1.5,ambayo ni sawa kabisa,na kawaida katika uwanja wa Bukoba,ndege zinapokuwa zina take off,huwa zinatumia kama 60% tu ya uwanja zinakuwa zimesha paa hivyo hivyo wakati wa kutua kwa hiyo hilo sio tatizo kwa sasa,Issue ya runway inategemea aina ya ndege! zile ATR za Precision Air na hizi Bomberdiear sio issue kabisa! Huwezi kukuta Airbus au Boeing 787 haiwez ruhusiwa kwenda Bukoba kutua ata sikumoja.

Issue ya Bukoba actually ni hali ya hewa kwa kesi hizi za sasa tunazosikia,issue yakuhamisha uwanja mwingine ilikuwa ni kutokuwa na nafasi ya kuongeza kwa hii Airport yasasa,watu walisema pale ulipotaka ukahamishiwe yaani omkajunguti ilishindikana si kwasababu za kisiasa au mtu binafsi ila baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja wa omkajunguti inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi! hali hii ilionekana kuwa ni hatari sababu ikitokea hizo nchi mbili zimefunga anga lake uwanja wa ndege huo usingekuwa unafanya kazi nao ungefungwa,haafu pia ingetakiwa uwe unalipia katika anga la Rwanda au Burundi kila inapotaka kutua au kupaa.

Sasa je,watu wapande kisbo na Mohamed Trans wakifika Mwanza kwa ndege,wamalizie Kagera?kwanini rubani asitue Chato mpaka aende mwanza? Kwanini ameenda mpaka mwanza wakati kuna chato international airport hapo karibu,kama Bukoba Airport ipo Analogy!! Iakini Chato ni digital na ina Automatic systems ndege inatua yenyewe ata kama kuna Ukungu au umeme umekatika etc! tutumie Chato iliyojengwa juzi ambayo ni ya kisasa na ina automation! kama hata dege za atcl ambazo ni mpya na zina auto pilot haziwezi shuka Bukoba Airport basi chaguo sahihi la Bukoba ni Chato International Airport,na usafiri wa mwendokasi uwepo kuanzia Chato hadi Bukoba ambapo ni kilomita 221.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Chato mbali mno kutoka Bukoba mjini
 
Shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Degree fake kumbe ni nyingi kweli. Huyu anasema ana Masters degree lakini hata kujua tu tofauti ya:

Visibility vs Feasibility, hajui.

Angalia alichokiandika:

"Issue ya Bukoba actually ni hali ya hewa kwa kesi hizi za sasa tunazosikia,issue yakuhamisha uwanja mwingine ilikuwa ni kutokuwa na nafasi ya kuongeza kwa hii Airport yasasa,watu walisema pale ulipotaka ukahamishiwe yaani omkajunguti ilishindikana si kwasababu za kisiasa au mtu binafsi ila baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja wa omkajunguti inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi!"
 
Km's Chato to BK.
Km's Mwanza to Bk.

Bukoba ni mkoa unadeserve kuwa na airport salama na standard.

Huu wasasa ubaki kama kambi ya jeshi, airstrip kwa matumizi ya kijeshi na emmergency landing incase..

Chato airport inaweza kubaki kwa ajili ya ndege za mizigo, wakazi wa Geita na vitongoji vyake, matumizi ya kijeshi nk.

Ule ukanda tunapaswa kuimarisha sana ulinzi wa anga kwa kuwa na kikosi anga cha kisasa chenye silaha na radar za kisasa maana ni eneo linalopakana na watu korofi na solution pekee ni kikosi imara cha anga.
 
yaani watu waongo hadi kero....kutoka pale Omukajunguti hadi mpakani kwa TZ na UG haizidi km 30 sasa lakini wameanza kuleta vi sababu vya uongo uongo hapa....mbona mwanzoni walisema shida ni Swamp....leo et shida ni kugusa anga za majirani
Mnaomwamini huyu Chawa nyie ndo mna shida. Umeona Nani mwingine JF anaweka tuvyeti eti mgt ya mavi?
 
-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Huwezi kuwa na elimu ĥii utuandikie visibility study badala ya feasibility study. Ila pia kwa elimu hii huwezi kutwambia ndege lazima iingie anga la Rwanda na Burundi inapotua au kupaa Omukajunguti.. We utakuwa msela tu flani mwenye access ya watu wenye exposure
 
Nionavyo kabla ya pilot kuruka kwann asiulize hali ya hewa ikoje huko, kwann waende kwa kubahatisha?
Ni sawa lakini bado hali ya hewa inaweza kubadilika ghafula ndani ya dakika chache. Kabla ya kuruka toka Dar au Mwanza, hali ya hewa ya uwanja wa Bukoba unaweza ikawa nzuri sana lakini utakapoukaribia hali yake ikawa imebadilika! And vice-versa, yaani kabla ya kuruka hali ya Bukoba ikawa ni mbaya lakini utakapofika huko hali ikawa imeshabadilika kuwa safi.
 
Nikufahamishe tu wewe ambaye bado unapinga kuwepo uwanja mpya ndege mkoani Kagera, hii siyo siasa wala kuupendelea mkoa huu.

Niseme wazi mie ni mzaliwa na ndo nyumbani. Huu mkoa unazo sababu nyingi sana za kiuchumi, kijamii lakini pia kitaalamu za kuufanya uwe na uwanja mpya na mkubwa wa ndege na chache ya hizo ni kama zifuatazo.

•Uwanja wa leo haufai kwa mahitaji na dunia ya leo. Huu uwanja umejengwa zaidi ya miaka 80 iliyopita na enzi hizo ukikidhi mahitaji ya wakoloni, wakoloni walisafiri na ndege zao wakiwa ni maafisa na watawala wao wachache na kwa jukumu kubwa la kiutawala na si la kibiashara.

• Kijiografia ndo balaa lilipo zaidi. Ukitoka mahala ilikozama ndege majuzi ni km 2.5 hivi unakikuta kisiwa cha Musira. Ndege ikiwa inaelekea kutua ni lazima ikipite kwa juu kidogo ndo ikatue, Kwahiyo ndege inashuka kama mwewe ananyakua kifaranga na si kama kipanga mnaofuga kuku mtaelewa. Hii ndo maana huwa kuna kishindo kikubwa sana pindi ikikanyaga uwanja, °za ulalo zinaifanya ndege ikae tenge kidogo.

• Wakati wa mvua kubwa ama ukungu na hapa watu waelewe, mkoa wa Kagera uwa panakuwa na ukungu sana ambao usababisha sana umande mwingi asubuhi. Hii hari ikiwa karibu na ziwa na kukawepo na mawingu makubwa na meusi shughuli huwa ni nzito mno kwa rubani atakosa kuona maji ni yapi na anga la juu na sehemu ya uwanja huwa kama vimeungana

• Ukiondoa viwanja vikubwa vya kimataifa hapa Tz, uwanja wa Bukoba una wasafiri wengi sana na makampuni yananufaika sana na Bukoba kwa maana ya biashara

• Tawala zote zimepita ila tawala hizi mbili za mwisho zimeifungua zaidi Kagera. Kwa miradi ambayo imepelekwa kule na pesa inayoelekezwa mkoani kwa sasa inaashiria ongezeko zaidi la abiria na muda si mrefu huenda hadi 2026 idadi ikawa mara 3 ya ilivyo leo hivyo tunahitaji kuwa focused.

• Tujifunze kuwaza makubwa. Inasikitisha kuona mtu anatetea kitu ambacho kinaashiria udogo badala ya ukubwa wa fursa, kuendelea na fikra eti vindege vya abiria 30/40 tu ndo vitue pale basi wakati fursa ipo kubwa tuachane nazo kama nchi.

Tujaribu kuwaza kibiashara zaidi na penye fursa tukinge pesa, hayo mambo ya eti sijui kanda moja mara wahaya ..huu ni uvivu tu wetu sie watanzania. Unaamua kuacha kuwaza kibiashara unaamua kuwaza kimaskini kisa hilo jambo haliko hapo wewe ulipo, lakini tusisahau Kagera/Bukoba wanaishi watanzania wote na wengine wameajiriwa kule wengine ni ndugu zenu. Sasa shida ya nini? Hata wewe kesho waweza kujikuta uko kule maana maisha haya tunazunguka hapa hapa duniani.

• Kwa wanaosema uwanja uwekewe taa na chumba cha kuongozea wana hoja lakini kama nilivyosema hapo juu, utauboresha kwa hayo lakini haitasaidia ndege za abiria wengi kuja kutua pale jiografia ya pale hairuhusu tena kuupanua kirahisi. Kagera hii si ya abiria 30 tena na hadi 2026 itakuwa na uwezo wa kushusha abiria 150. Watu wana pesa zao wewe kama huna lia kivyako

• Point hii ni muhimu zaidi ya zote. Kujenga uwanja mpya Kagera wala siyo ishu ya leo ama jana. Miaka ya 90's kwa sababu hizihizi za kitaalamu na muhimu walishaona na kulichagua eneo la Kyetema karibu na Kemondo ujengwe uwanja mkubwa. Baadae miaka ya 2010's eneo likahamishiwa Omukajunguti ambako hadi fidia zilianza kulipwa. Kwahiyo sababu hizi si za leo, zipo na kila kukicha sababu hizi ziko pale pale na hata kesho hizi sababu hazitakufa. Kadiri siku zinavyopita ndo sababu za kujenga uwanja mpya zinavyozidi kuwa wazi. Kwahiyo huu uwanja hausemwi eti kisa leo kuna zoezi la kujenga viwanja kila mkoa kila mtu aonekane anadai. Pengine kwa Kagera huu ujenzi umechelewa miaka 20 nyuma maana ulitakiwa ujengwe mda mrefu sana na ulipigwa zengwe nyingi na wenye fitina.

Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki.
 
Maoni yangu,
Hamna haja ya kukuza mambo hasa baada ya ajali ya Precision.
Wizara ione namna ya kulipa fidia ili kuongeza length ya runway na kuweka taa ili hata kukuwa na ukungu uwanja uonekane vizuri.
Otherwise tuzingatie kuwa vipo viwanja vingi vilivyo na abiria wengi na vinavyokusanya mapato zaidi ya BKB, mfano huu hapa:
Issue ya hali ya hewa isiwe gia ya kuomba uwanja mpya.
Kama ambavyo mdau mmoja aliwahi kusema hapa hizo 1500m za BKB kwa mikoa mingine hawana na wangehitaji anagalau uwanja kama huo
 
Runway iongezwe upande upi kuelekea wapi na itakuwa na uwezo wa kuaccomodate ndege za ukubwa gani na duration gani mkuu, twende kiuhalisia kidogo ili tuisaidie serikali na miradi hewa
 
Back
Top Bottom