hahahaha lile shuti la uwezo mkubwa mno mbele ya beki legevuKimenyaaa anapiga shutiiiii, lakini linashindwa kulenga lango la Simba, ilikuwa hatariiiii lango la Simba
usihuzunike tff washa wapangia msaidizi hapo katiHuyu kocha wetu siku ambazo mashabiki wa Simba tunakuwa tunategemea kitu Basi ndiyo siku ambazo anatupangia kikosi Cha pressure. Any way let wait and see
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
bila hivyo nyau ataadhirikaMikia mfanye miamala fasta