Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Nitajie mechi mbili tu za ligi hii 2018/2019 ambazo Yanga wamecheza kabumbu ya kuvutia
utakuwa umeanza ona mpira jana, mechi zote za yanga mpira safiii


hataa mechi ya mikia ilipendeza kwa kuwa tu alikua anacheza na yanga, ya mbao safiii wataka nn tena

kwa mechi ya leo bora kuona X mkuu hakuna mechi pale
 
Wapenda Pesa, mishahara mikubwa NGOMA na CHIRWA hawajalipwa??
 
SIMBA 1 vs YANGA 0
SIMBA 3 vs AFRICA LYON 0
SIMBA 3 vs YANGA B 1
_________________
MICHEZO 4
KUSHINDA 4
MAGOLI YA KUFUNGA 7
MAGOLI YA KUFUNGWA 1
_________________
VILAZA HUMUWEZI KUIELEWA SIMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…