Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi nilikuwa nachangamsha genge mtani,tutaanzia wapi mnunua said bakharesaYametimia!
Azam ni bora wasingetokea uwanjani ili ijulikane moja kwa moja walichokipanga. Mpira wanaocheza Azam leo,kabisa walikuwa na matokeo. Mpira wa kibongo uduanzi mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeingia kipindi cha piliAzam ni bora wasingetokea uwanjani ili ijulikane moja kwa moja walichokipanga. Mpira wanaocheza Azam leo,kabisa walikuwa na matokeo. Mpira wa kibongo uduanzi mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua huyo ni mwanachama wa simba yeye na wanae?wapi nilikuwa nachangamsha genge mtani,tutaanzia wapi mnunua said bakharesa
hahaha... insta babe huo muda unaotumia kunifikiria wenzako tunapata mvuaHahahhah
Ebu ngoja kwanza nikufikilie
utakuwa umeanza ona mpira jana, mechi zote za yanga mpira safiiiNitajie mechi mbili tu za ligi hii 2018/2019 ambazo Yanga wamecheza kabumbu ya kuvutia
Ila mpira wa bongo nuksi sana yaani viporo 8 sijawahi ona,,,mwaka juzi Yanga alikua na viporo 4 Manara alitoa povua balaaa
Mh [emoji134][emoji134][emoji134]hahaha... insta babe huo muda unaotumia kunifikiria wenzako tunapata mvua
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah... embu ona hii ya leoView attachment VID-20190222-WA0013.mp4Mh [emoji134][emoji134][emoji134]
Insta babe au upo mkoani jiji la bashite huku nilipo hakuna mvua kabisa