Hahahaa. Nitaamini mpira ukiisha Swahiba.[emoji3][emoji3]Swahiba naomba tu nikutaarifu maombi yako ya Leo yamekataliwa jaribu Tena siku nyingine
Simba 3 Azam 1
We love you though
Sent using Jamii Forums mobile app
WACHENI KUPANICK WATANI NDIO UTANI WA JADI HUO. MAANA WENGINE MNAKARIBIA KUMWAGA POVU LA MABLANKETI KISA UZI KAANZISHA MTU WA TIMU YA WANANCHI. LOL.
MWISHO WA SIKU DKK 90 NDIO ZITAONGEA.
"HUU MCHEZO AUHITAJI HASIRA"
Tunasemea kikosi cha Bil. 1 bana Ses wacha kuruka viunzi. Si kilikuwa hicho hicho.Watoto wale hawana issue, halafu kombe lenyewe mnashindania na vitimu vya daraja la pili!!!
Issue ni kikosi cha bilioni 1 Swahiba. Na ndio kilichofungwa na hao mashujaa.
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe sio mzima
Hahahaaa. Inatakiwa wajue ukiwa na Mtani wako Kukerwa lazima na mwisho wa siku mnapeana mikono maisha yanasonga.
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe sio mzima
Hujaona mashabiki wa Yanga walivyorusha makopo kwa refa half time mechi na mbao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Unasema tu kwa kuwa mlishatolewa Sesten laiti mngekuwa bado mmo wala usingeyaona haya.Watoto wale hawana issue, halafu kombe lenyewe mnashindania na vitimu vya daraja la pili!!!
Hahahahaa hiyo Barcelona haishindagi mechi zote saa zingine kuna vimechi inaviachia tuTunasemea kikosi cha Bil. 1 bana Ses wacha kuruka viunzi. Si kilikuwa hicho hicho.
YES au NO?
Nasubiri nione Mtani.Kibaya zaidi mtani tutafuzu robo fainali sisi na j-soura, tuliokuwa hatupewi nafasi
Hapana Shadeeya sisi hua hatulitolei sana macho kombe hilo ndio maana hata mwaka jana tukaachia tu, wala hatushoboki nalo kiviileπππHahahaaa. Unasema tu kwa kuwa mlishatolewa Sesten laiti mngekuwa bado mmo wala usingeyaona haya.
Hivyo hata leo mnaweza mkamuachia Azam eee?Hahahahaa hiyo Barcelona haishindagi mechi zote saa zingine kuna vimechi inaviachia tu
Au kwa vile Yanga hua inafurahia kuvifunga vitimu visivyokua na majina?
Azam ni chakula chetu, TPL ni kombe letuHivyo hata leo mnaweza mkamuachia Azam eee?
aya mtani; tukutane apo baadae kwenye mazoezi ya simba"sio match juct mazoezi" si unajua raha ya ramaba ramba uirambe vizuri mtani.Nasubiri nione Mtani.
Tusubiri Dkk 90 ndio zitaongea.Azam ni chakula chetu, TPL ni kombe letu
Nakaribisha maswali Shadeeya
Sawa Mtani ila angalia kibao kisigeuke tu.aya mtani; tukutane apo baadae kwenye mazoezi ya simba"sio match juct mazoezi" si unajua raha ya ramaba ramba uirambe vizuri mtani.
haha mtani sisi hatuna mbwembwe siku hizi zetu ni kimoja tu kama kama cha nguruwe, lakini watoto kibao.Sawa Mtani ila angalia kibao kisigeuke tu.
Hapa naomba sana TANESCO wasikate umeme pande hizo ili uweze kukaa muda wote wa dk 90 ukishudia Medy Kagre akifumba jicho moja baada ya kua ameshacheka na nyavu, hapo bado share ya kina Okwi na BokoTusubiri Dkk 90 ndio zitaongea.
Yashaisha maswali. π