Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Hao tushawazoea wanaweza hata kung'oa savers za jeifu
WACHENI KUPANICK WATANI NDIO UTANI WA JADI HUO. MAANA WENGINE MNAKARIBIA KUMWAGA POVU LA MABLANKETI KISA UZI KAANZISHA MTU WA TIMU YA WANANCHI. LOL.

MWISHO WA SIKU DKK 90 NDIO ZITAONGEA.

"HUU MCHEZO AUHITAJI HASIRA"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasemea kikosi cha Bil. 1 bana Ses wacha kuruka viunzi. Si kilikuwa hicho hicho.

YES au NO?
Hahahahaa hiyo Barcelona haishindagi mechi zote saa zingine kuna vimechi inaviachia tu

Au kwa vile Yanga hua inafurahia kuvifunga vitimu visivyokua na majina?
 
Tusubiri Dkk 90 ndio zitaongea.

Yashaisha maswali. 😀
Hapa naomba sana TANESCO wasikate umeme pande hizo ili uweze kukaa muda wote wa dk 90 ukishudia Medy Kagre akifumba jicho moja baada ya kua ameshacheka na nyavu, hapo bado share ya kina Okwi na Boko

Wasiwasi wangu ni kuhusu wewe pressure iskupande tu
 
Back
Top Bottom