Hahahaaa. Mmekuwa ka wale Wanaume ninaowasikiaga huku wa huko Jijini. πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈhaha mtani sisi hatuna mbwembwe siku hizi zetu ni kimoja tu kama kama cha nguruwe, lakini watoto kibao.
[emoji23]kama kawaidaSwahiba tuwache. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
KILA LA KHERI AZAM. [emoji126][emoji126][emoji126]
Hapa naomba sana TANESCO wasikate umeme pande hizo ili uweze kukaa muda wote wa dk 90 ukishudia Medy Kagre akifumba jicho moja baada ya kua ameshacheka na nyavu, hapo bado share ya kina Okwi na Boko
Wasiwasi wangu ni kuhusu wewe pressure iskupande tu
Kaka zangu OKW BOBAN SUNZU , King Ngwaba na Sapta Sapta nawasalimia ndugu yenu.
(Msinizodoe jamaani nawakumbusha tu kuwa leo kuna mechi) ππ
Yaani leo wauwache tu huo umeme na mie nifaidi hasa pale itakapokuwa kinyume chake.Hapa naomba sana TANESCO wasikate umeme pande hizo ili uweze kukaa muda wote wa dk 90 ukishudia Medy Kagre akifumba jicho moja baada ya kua ameshacheka na nyavu, hapo bado share ya kina Okwi na Boko
Wasiwasi wangu ni kuhusu wewe pressure iskupande tu
Hii "kila la kheri" haijatoka moyoni kabisaHahahaaa. Mmekuwa ka wale Wanaume ninaowasikiaga huku wa huko Jijini. [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Haya Mtani kila la kheri.
Mwenge hauluki kijiji mtani ni zamu ya lamba lamba kutoa; aya mtani wacha niingie masjid enda omba baraka za allahHahahaaa. Mmekuwa ka wale Wanaume ninaowasikiaga huku wa huko Jijini. πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Haya Mtani kila la kheri.
Itakuaje kinyume tena banaa!? Ushauri wa bure leo usishabikie Azam bora useme huna timuYaani leo wauwache tu huo umeme na mie nifaidi hasa pale itakapokuwa kinyume chake.
Hahaaa. Usijali bana Mpira una matokeo matatu.Huu ni Uchokozi wa Wazi kabisa! ππ
Sasa mambo yakiharibika Nitaukimbiaje huu Uzi na Kudai sijauona wakati umeshanitag?
Punguza uchokozi
Nimekuwaza muda si mrefu kumbe ushafika. πππ
Lini mambo yaliharibikaHahaaa. Usijali bana Mpira una matokeo matatu.
Pia waeza chimba mazima au ukapotezea tu quote za watu kama anavyofanyaga Mtoto halali na hela yaani mambo yakiharibika huwa namtag, namquote hata hanijibu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23]au tushinde mechi za kimataifaNimekuwaza muda si mrefu kumbe ushafika. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndiooo. Kama kawaida. Ni mwendo wa kupishana tu labda siku icheze Taifa Stars.
SIMU HAZIKUWA NA MTANDAO. ππ