Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Hahahaa. Hujaitegemea ndio sababu.

Imetoka moyoni kama ya yule Mtani wangu mwingine 100 Likes aliyoitoa kwenye mechi yetu na Mbao. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahaha, sisi sasa hivi ni kazi kazi, hao Azam watakufa kama alivyokufa Mwarabu na mshenga wake.
 
Haipeperushi bendera ya Taifa..wakati first eleven mamluki..ndio maana wimbo wa Taifa haupigwi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…