Tuulizeni wa yanga tulikuwa tunaweka wapi suraDah..kesho sijui tutaweka wapi sura zetu makazini..
PoleeeeYanga wanapoteza muda sasaa...
Wepesi sana nyieHii game ngumu kwetu wazee..itokee tu juhudi binafsi..lakini kwa jinsi backline ya yanga walivyojipanga kule nyuma ni ngumu sana kwa simba kupenya.
Bora hata tungefungwa na timu nyingine sio Yanga..Tuulizeni wa yanga tulikuwa tunaweka wapi sura
Ila nyau leo hawatoboi
Leo Simba ameingia cha kiumeBora hata tungefungwa na timu nyingine sio Yanga..
Duuuu huyo mwamuzi tenaDeo Kandaaaaaa la la ilikuwa nafasi kwa Simba baada shuti lake kuokolewa na mwamuzi
Ilikuwa nafasi kwa simba kusawazisha