Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Balama katoka, Kaseke kaingia. Kapombe kapiga kichwa mpira umetoka
 
Deo Kandaaaaaa la la ilikuwa nafasi kwa Simba baada shuti lake kuokolewa na mwamuzi anaamuru kona kupigwa

Ilikuwa nafasi kwa simba kusawazisha
 
Back
Top Bottom