Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

tanzania mpira hatuna
mashindano amabayo tunaweza kushiriki ni ya UCHAWI,UMBEA, NA UOGA Na kombe tuanachukua
 
Ondoa ungese hapa ww gasho
 
Dakika ya 45+2 Shiza kichuya anamchezea faulo mchezaji wa Al masry na Kichuya anaoneshwa kadi ya njano
 
Pamoja na al masri kuongoza 2 -1 tusikate tamaa bado tuna nafasi ya kufanya vizuri
Bora ungesema Yanga angalau ana nafasi kubwa kuliko ninyi mikia fc, hata mpira ukimalizika kwa safe ujue simba ndiyo basi tena mana hawa jamaa nawajua kiundani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…