Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Dakika ya 42 simba wanapata kona ila inakwenda nje..inakuwa ni goal kick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wengi sana sheikh karibu Al mAsryNaona kuna waarabu weusi pale taifa wanashangilia kwa mbwembwe kweli [emoji23]
Hmm.. Hata mimi naiona ileeeeee...simba bado ana nafasi ya kushinda
Nipo emmyta... Tusubiri dk 90 mkuuGhazwat , Sesten Zakazaka , Zamaulid , Southern Highland , Joseverest , King Ngwaba , barafuyamoto , OKW BOBAN SUNZU , zeshchriss , Mshuza2 , hazard cfc , babalao 2 , Oxygen gas , namanyele ,ZigiZaga , theriogenology Shunie , Elgibo , Songa heri Shombe la Kisomali, Barn , Lyon Lee na wengine wengi njooni huku na leo kuna game. Teh.
Tupo wengi sana sheikh karibu Al mAsry
Mtani tumefungwa magoli kwa muda mfupi sana.....Kabisaaa yaani.
Mtani mbona sie jana hatukupanic kulikoni leo?
Mara ooh tulifika Fainali mara ooh tulimtoa Zamalek ukiuliza lini miaka kumi iliyopita lol.Tatizo la mikia fc wanatumia historia kwenye haya mashindano. Timu zenyewe walizokuwa wanacheza Nazi zamani zimejifia zote.
Tumesajili kikosi cha bilioni 1 kitufae kimataifa(kwa Sauti ya mzungu Manara) usituchukulie poa hahahahaHali mbaya... kuna kupigwa sita hapa.... hawa jamaa wakifika golini wana uhakika wa kupata bao
Nasubiri Kaka Mtani. Pia nimefurahi kukuona.Nipo emmyta... Tusubiri dk 90 mkuu
Teh teh teh...Hahahaaa. Teh teh
Ondoa ungese hapa ww gashoEwe SHETANI mtawala wa anga la kuzimu, saidia simba a.k.a mikia fc ifungwe goli 6 - 1. Walidhania mashindano ya kimataifa ni mepesi kama ya miaka ya nyuma. Ewe Ibilisi wanyime kombe la ligi kuu thimba a.k.a wamatopeni fc. Mechi ya Leo ma marudiano kule misri ndiyo iwe mwisho wao wa kupanda ndege. Ameen !
Tih tih tih tih. Lol.Teh teh teh...
Bora ungesema Yanga angalau ana nafasi kubwa kuliko ninyi mikia fc, hata mpira ukimalizika kwa safe ujue simba ndiyo basi tena mana hawa jamaa nawajua kiundani sanaPamoja na al masri kuongoza 2 -1 tusikate tamaa bado tuna nafasi ya kufanya vizuri