Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Mara ooh tulifika Fainali mara ooh tulimtoa Zamalek ukiuliza lini miaka kumi iliyopita lol.

Watulie tu na hii itawafanya wajue Yanga asiposonga mbele sio kwamba hajui mpira.
Mpira na historia ni vitu viwili tofouti mtani....

So mambo ya historia huwa siyapi kipaumbele sana maana najua lolote laweza tokea na mpira unadunda.....
 
Jana watu wamepayukwa kama vile ndio dunia ingeishia Jana, kumbe imeendelea Leo na Simba naye anacheza... Hahahaha Simba wa kuchonga......
 
Naona Yanga mmejazana huu uzi kama nzi chooni ...
 
Bora ungesema Yanga angalau ana nafasi kubwa kuliko ninyi mikia fc, hata mpira ukimalizika kwa safe ujue simba ndiyo basi tena mana hawa jamaa nawajua kiundani sana
Hivi vyura mnajifariji nini hasa
 
20180307_184708-1.jpeg
 
Al masri wamekuja na mashabiki wengi, kweli malipo hapa hapa duniani, hamna jinsi inabidi simba mpambane na hali yenu, msitegemee uzalendo. Naona manara ktk press conference lazima aje na ile flat screen yake, kuthibitisha uhalali wa Penati.
 
Back
Top Bottom