Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ile ukikutana refa mkuda anakupa red.. Kung fu kickDakika ya 45+2 Shiza kichuya anamchezea faulo mchezaji wa Al masry na Kichuya anaoneshwa kadi ya njano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ukikutana refa mkuda anakupa red.. Kung fu kickDakika ya 45+2 Shiza kichuya anamchezea faulo mchezaji wa Al masry na Kichuya anaoneshwa kadi ya njano
Hahahaaaa. Kajaa tele Mkuu.Okwi yupo?
Mpira na historia ni vitu viwili tofouti mtani....Mara ooh tulifika Fainali mara ooh tulimtoa Zamalek ukiuliza lini miaka kumi iliyopita lol.
Watulie tu na hii itawafanya wajue Yanga asiposonga mbele sio kwamba hajui mpira.
Kweli kabisa Mtani. Mpira hauendi kwa historia.Mpira na historia ni vitu viwili tofouti mtani....
So mambo ya historia huwa siyapi kipaumbele sana maana najua lolote laweza tokea na mpira unadunda.....
Hivi vyura mnajifariji nini hasaBora ungesema Yanga angalau ana nafasi kubwa kuliko ninyi mikia fc, hata mpira ukimalizika kwa safe ujue simba ndiyo basi tena mana hawa jamaa nawajua kiundani sana
Waarabu wanaua kelele leo..Tih tih tih tih. Lol.
Yap yap dizaini ya CollinaIle ukikutana refa mkuda anakupa red.. Kung fu kick
Kama nyie jana mlivyojigruza kuwa funza kwenye mav.iNaona Yanga mmejazana huu uzi kama nzi chooni ...
Unaona inavyouma ehee, hata Jana Yanga walikuwa wanaumia wanavyopondwa na simba, kudadeki Leo lazima mjambe mpaka kuharishaOndoa ungese hapa ww gasho
Hahahaaa. Umeonaeee.Waarabu wanaua kelele leo..
Hahaaa. Wameshasahau [emoji12][emoji12][emoji12]Kama nyie jana mlivyojigruza kuwa funza kwenye mav.i