Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Daah hapa full kuibianaView attachment 706874
Screenshot_20180307-193931.jpg
 
Namuona meneja, Kachukua kidumu cha lita tano, kaenda kuchukua mafuta tumalizie dk 10. (nchi hii sijui lini tutakuwa serious) yaani hapa inatakiwa meneja apigwe chini hii aibu.
 
Acha ujinga wewe huu upepo na mvua hii huo mpira mtaucheza kwa mikono
Tatizo mko Chato huko mnaamini watangazaji wa radio waliosomea kwenye vyuo kama Tandabui...
Sasa hivi ni mvua gani ya kustopisha game?
Huo upepo uko wapi?
Uwanja ule umezibwa pembeni huo upepo uwanjani unaingilia wapi..
Watu wa Chato bana
 
Hii ni aibu kubwa TFF, ni mara ya pili umeme umekatika. Mara ya kwanza ni hile fainali ya Cecafa na leo tena umekatika.
TFF watazamwe vizuri, ni aibu uwanja kama ule kukosa standby genereta.
 
Namuona meneja, Kachukua kidumu cha lita tano, kichukua mafuta tumalizie dk 10. (nchi sijui lini tutakuwa serious) yaani hapa inatakiwa meneja apigwe chini hii aibu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nchi ya viwanda hii..aibu tupu umeme unakatika hata jenereta hakuna..
 
Hahahaaah walimsikia...!
Mkuu watu watasema ni chuki ila hii ni mbinu. Uwanja mkubwa kama huu ina maana hauna generator. Wanajua wamacheza mechi kubwa kama hii kwa nini wasichukue tahadhari mapema kaam umeme utaleta shida. Kwenye ukweli lazima tuseme tu. Hapa tunaichafua nchi yetu.

Only In Tanzania
 
Back
Top Bottom