Edward A Chapa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 961
- 1,380
Daah hapa full kuibianaView attachment 706874
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hila za wanazi wa yanga Walijua simba ndio inajiwekea nafasi ya kusonga mbele. Lengo Lao ni tifananeHatari sana, hili ni doa..umeme unazimaje kizembe?
Nchi ya viwanda! Umeme unatushinda sembuse ........Hatari sana, hili ni doa..umeme unazimaje kizembe?
Tatizo mko Chato huko mnaamini watangazaji wa radio waliosomea kwenye vyuo kama Tandabui...Acha ujinga wewe huu upepo na mvua hii huo mpira mtaucheza kwa mikono
Umeme je?? umewaka au nao badoIyo sijui ila hakuna mvua kubwa ya kukatisha mechi sema kama wana sababu nyingine sawa..
Si ndio tutapigwa nyingi sana...!Watafidia dakika zilizosalia kwenye mechi ya marudiano
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Namuona meneja, Kachukua kidumu cha lita tano, kichukua mafuta tumalizie dk 10. (nchi sijui lini tutakuwa serious) yaani hapa inatakiwa meneja apigwe chini hii aibu.
bye bye SimbaHila za wanazi wa yanga Walijua simba ndio inajiwekea nafasi ya kusonga mbele. Lengo Lao ni tifanane
tuna safari ndefuNchi ya viwanda! Umeme unatushinda sembuse ........
Kuibiana kama kawaida hapo....!Daah hapa full kuibianaView attachment 706874View attachment 706876
Mkuu watu watasema ni chuki ila hii ni mbinu. Uwanja mkubwa kama huu ina maana hauna generator. Wanajua wamacheza mechi kubwa kama hii kwa nini wasichukue tahadhari mapema kaam umeme utaleta shida. Kwenye ukweli lazima tuseme tu. Hapa tunaichafua nchi yetu.Hahahaaah walimsikia...!