Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

21' mashambulizi ni makali kuelekea lango la Gendarmarie Nationale FC
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwasiiiiii la la la la nje ya lango la Gendarmarie Nationale FC
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwasiiiiii la ni goal kick.. Dakika 24
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nyonii...kichuyaaa...kwasiiii mahesabu yanaenda ndivyo sivyo
 
Abdul Mohammed anakwenda lakini anafanyiwa madhambi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ahmed Aden anakwenda. Lakini mpira unatoka nje
 
Pembeni John Bocco kwake Kwasiiiiii.. Lakini Kotei anapoteza
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kotei anapiga shutiiiiii lakini golikipa anaokoa hapa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
486c651c125b4e2ea68f3c43812dcfb4.jpg
Klabu ya Simba Sports Club leo Jumapili inajitupa katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, kuanza harakati za kupambana kimataifa kwa kucheza na klabu ya Gendarmarie Nationale FC, ya nchini Djibout kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya awali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Simba SC, Mnyama wanarejea michuano ya kimataifa huku wakiwa na matokeo mazuri kwenye Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara VPL, hali inayoaminiwa na mashabiki na wanachama wao kuwa huenda furaha ikawa chachu ya wachezaji wao kuendeleza furaha.

Utashuhudia pambano hili Live kupitia Azam Sports 2 kuanzia saa 10: jioni. Kaa nasi kukuletea yatakayojiri, usikose ukaambiwa

Vikosi vya timu zote zimetoshana nguvu kwa upande wa Simba SC;

Aishi Manula, Shomari Kapombe, Asante Kwasi, James Kotei, Yusuf Mlipili, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Said Ndemla, John Bocco, Emmanuel Okwi.

Sub; Emmanuel Mseja, Mzamir Yassin, Mwinyi Kazimoto, Moses Kitundu, Paul Bukaba, Ally Shomari, Juuko Murshid.

Coaches; Pierre Lechantre - Head Coach
Masoud Djuma - Assistant Coach Mohamed Aymen - Fitness Coach Muharam Mohamed - Gk Coach

Timu uwanjani tayari kwa mtanange huu. Na Rais Mstaafu Ndugu Ali Hassan Mwinyi ambaye ni mgeni rasmi kwenye mchezo huu tayari anakagua timu zote mbili.

Wakati wowote mpira utaanza hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Naam mpira umekwisha ananza uwanja wa Taifa


00' Simba SC 0-0 Gendarmarie Nationale FC.

02 ' Goooooooooaal Said Ndemla amepiga faulo na kutinga wavuni moja kwa moja

Simba SC 1-0 Gendarmarie FC


15' uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

Simba SC 0-1 Gendarmarie Nationale FC
Aungurumapo simba .. .
 
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi anafurahia hapa. Ikiwa takriban miaka mingi aache kwenda uwanjani
 
Ndemlaaaa anapiga gooo laaaa. Beki unamgonga hapa
 
Back
Top Bottom