Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Go goooal laa Ndemla amepiga. Lakini mabeki wanahamisha mpira
 
Ismail Shaibu anakwenda. Lakini mpira unatoka nje wakurushwa
 
43' kuelekea mapumziko hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
 
45' Goooooooooaal goooooooooaal goooooooooaal

John Bocco anaandika bao la tatu upande wa Simba SC
 
Back
Top Bottom