Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameonyesha ukomavuOkwi amefunga goli zuri sana, yule mzambia wa yanga anatakiwa kujifunza kwa Okwi kwamba mtu ukisema ni mchezaji wa kimataifa unatakiwa kuonyesha uwezo kama anavyofanya okwi. yule mzambia aliyeshindwa penati hakika anakera.
Sawa, ni vizuri tutafurahi sana leo. Na tunawapongeza sana wachezaji wetu. Lakini kiwango cha mpira ni kikubwa? hilo ndilo swali muhimu. Tukikutana na timu nzuri katika mashindano hayo tutavuka?Ayaaa 4-0 umeridhika?
Ime qualify vipi kuingia kwenye mashindano?sijatumwa, hii siyo timu ya kujivuna kuwa tumeifunga. mimi ni mpenzi wa Simba kwa miaka kama 40 iliyopita.. lkn ukweli ni huo. Hivi ni vitimu vidogo kutoka nchi hoeehae!
Nimemshangaa sana huyo dogoWewe acha kutulisha Matango hapa wewe sio Mpenzi was Simba,wapenzi was Simba Tunawajua....mbona Jana Yanga kashinda Ka goli kamoja kwa Timu Dhaifu hukuongea....tena wao Yanga wanasema Ushindi ushindi Tuuu!
Point 3.
sijawahi kuona timu dhaifu kama ile tangu nizaliwe sijui hawa vibonde wametoka wapi!!! nafikiri wamekosea wakaleta timu yao ya wanawake ndio maana ina jina la MARIA hivyo msijisifu saaana mkaona mlikuwa mnacheza na timuHivi wewe [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] unajisikiaje sasahivi hapo ulipo?
sijawahi kuona timu dhaifu kama ile tangu nizaliwe sijui hawa vibonde wametoka wapi!!! nafikiri wamekosea wakaleta timu yao ya wanawake ndio maana ina jina la MARIA hivyo msijisifu saaana mkaona mlikuwa mnacheza na timu