Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Okwi amefunga goli zuri sana, yule mzambia wa yanga anatakiwa kujifunza kwa Okwi kwamba mtu ukisema ni mchezaji wa kimataifa unatakiwa kuonyesha uwezo kama anavyofanya okwi. yule mzambia aliyeshindwa penati hakika anakera.
Ameonyesha ukomavu
 
Ayaaa 4-0 umeridhika?
Sawa, ni vizuri tutafurahi sana leo. Na tunawapongeza sana wachezaji wetu. Lakini kiwango cha mpira ni kikubwa? hilo ndilo swali muhimu. Tukikutana na timu nzuri katika mashindano hayo tutavuka?



CAF Confederations Cup
SummaryArchive
DrawAFRICA: CAF Confederations Cup - Qualification
Quarter-finals
11.02. 16:00 Simba (Tan) Gendarmerie (Dji) 4 : 0
11.02. 15:00 Leopards (Ken) Fosa Juniors (Mad) 1 : 1
10.02. 20:30 El Masry (Egy) Green Buffaloes FC (Zam) 4 : 0
10.02. 20:00 Al-Ittihad (Lib) Sahel (Nig) 1 : 0
10.02. 19:00 Tanda (Ivo) La Mancha (Con) 0 : 0
10.02. 18:00 Energie Sports (Ben) Hafia (Gui) 1 : 0
10.02. 18:00 Petro Atletico (Ang) Masters Security (Mal) 5 : 0
10.02. 17:30 Mangasport (Gab) AS Maniema (Drc) 0 : 1
10.02. 17:30 New Star (Cmr) Deportivo Niefang (Gnq) 2 : 1
10.02. 17:00 Young Buffaloes (Swa) Cape Town City (Rsa) 0 : 1
10.02. 16:30 Costa do Sol (Moz) Jwaneng Galaxy FC (Bot) 1 : 0
10.02. 16:00 Ben Guerdane (Tun) Al-Hilal (Ssu) 3 : 0
10.02. 16:00 Olympique Star (Bur) Etoile Filante (Bur) 0 : 0
10.02. 15:00 Ngazi Sport (Com) Port Louis (Mau) 1 : 1
09.02. 19:30 Onze Createurs (Mli) CR Belouizdad (Alg) 1 : 1
 
lion-2.jpg
 
sijatumwa, hii siyo timu ya kujivuna kuwa tumeifunga. mimi ni mpenzi wa Simba kwa miaka kama 40 iliyopita.. lkn ukweli ni huo. Hivi ni vitimu vidogo kutoka nchi hoeehae!
Ime qualify vipi kuingia kwenye mashindano?
 
Wewe acha kutulisha Matango hapa wewe sio Mpenzi was Simba,wapenzi was Simba Tunawajua....mbona Jana Yanga kashinda Ka goli kamoja kwa Timu Dhaifu hukuongea....tena wao Yanga wanasema Ushindi ushindi Tuuu!
Point 3.
Nimemshangaa sana huyo dogo
 
Hivi wewe [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] unajisikiaje sasahivi hapo ulipo?
sijawahi kuona timu dhaifu kama ile tangu nizaliwe sijui hawa vibonde wametoka wapi!!! nafikiri wamekosea wakaleta timu yao ya wanawake ndio maana ina jina la MARIA hivyo msijisifu saaana mkaona mlikuwa mnacheza na timu
 
Back
Top Bottom