barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mfila katupia nae.Yanga imepigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfila katupia nae.Yanga imepigwa
Bongo hakuna Mpira kabisa Kama hawa wawakilishi wetu wa kimataifa wamepigwa namna hii sipati picha kesho Mikia SC watabugia ngapi kutoka kwa waarabu..
Jana nilikuwa busy kweli hata sikuifuatilia nimekuja kusikia matokeo usikuuu.. nimehuzunika ila nimekubali
AseehKweli kabisa. Maana simuoni Joseverest
Ooh. Usijali! Ndio mpira huo.Jana nilikuwa busy kweli hata sikuifuatilia nimekuja kusikia matokeo usikuuu.. nimehuzunika ila nimekubali
Mi naoendaga hapo DAIMA MBELE...Kila la kheri timu yangu nisiyochoka kukushangilia iwe kwenye ushindi, sare au hata kufungwa.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Hahahaaaa. DuuhMi naoendaga hapo DAIMA MBELE...
.....[emoji460]Ivan Ntege kwake Simisani Mathumo...... [emoji460]kwake tena Ivan Ntege, anaipeleka kwa Tshepo, [emoji460]Tshepo anaipeleka tena kwa Mathumo, [emoji460]Mathumo kwake Ivan, Ivan kwake Maano Ditshupo, [emoji460]Maano Ditshupo, kwake Mathumo....... [emoji441]Watizame wanavyocheza, [emoji460] Mathumo kwake Thengolame Boy, Boy kwake Maano Ditshupo...... [emoji460] Ditshupo anaitupa ndefu kule kwa Mosoletsi Sikele, Sikele anaituliza uzuri pale, anaianza kwa Ivan Ntege, [emoji460]Mosoletsi Sikele anafungua chumba na Ivan Ntege anaiweka kwenye channel paleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460] Goooooooooool goooool gol gol gol gol gol gol[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]...Yanga wamegongewa pasi za kutosha na hawa Township Rollers km Man city walivyowagongea Chelsea. Yanga hovyo kabisa.
Hawa township rollers wangekutana na sisi wekundu Wa msimbazi gemu ingekuwa Kali sana any way hawa Al Masry kesho lazima tuwape ki zygote fasta.
Usiache kuangalia waliozoea za kimataifa leo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] Sisi pia ni Wenyewe ujue.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120]
Tena Simba wa kugaragara haswaaaHivi kumbe na wewe Simba lol.
Haya bana ila mie nayapokea yote.
Mie tena wala sitabanduka.Usiache kuangalia waliozoea za kimataifa leo
Hahaaaa. Hivyo leo nkutegemee kugaragara endapo mtapoteza. [emoji85] [emoji85]Tena Simba wa kugaragara haswaaa
Tena kwenye matope kabisaa, ila Mwarabu siku zote kwetu hua hapinduiHahaaaa. Hivyo leo nkutegemee kugaragara endapo mtapoteza. [emoji85] [emoji85]
Na tukifunga goli ushangilie hamna kununaMie tena wala sitabanduka.
Hahahaaaa. We jipe moyo tu.Tena kwenye matope kabisaa, ila Mwarabu siku zote kwetu hua hapindui
Hahahaaa. Nitajaribu.Na tukifunga goli ushangilie hamna kununa
Mkuu hahahahaaa hii move ya goli mbona ni km naiona unavyoelezea hapa. Mi huwa napenda sana kuhesabu pasi LAKINI hawa wabotswana waligonga nyingi mpaka nikashindwa kuendelea kuhesabu. Sio siri yanga walikuwa outplayed kila idara. Jana Dume lao simba limem press mwarabu mpaka mvua ikamwokoa. Hata iweje Al Masry LAZIMA agongwe LABDA DUNIA IPASUKE......[emoji460]Ivan Ntege kwake Simisani Mathumo...... [emoji460]kwake tena Ivan Ntege, anaipeleka kwa Tshepo, [emoji460]Tshepo anaipeleka tena kwa Mathumo, [emoji460]Mathumo kwake Ivan, Ivan kwake Maano Ditshupo, [emoji460]Maano Ditshupo, kwake Mathumo....... [emoji441]Watizame wanavyocheza, [emoji460] Mathumo kwake Thengolame Boy, Boy kwake Maano Ditshupo...... [emoji460] Ditshupo anaitupa ndefu kule kwa Mosoletsi Sikele, Sikele anaituliza uzuri pale, anaianza kwa Ivan Ntege, [emoji460]Mosoletsi Sikele anafungua chumba na Ivan Ntege anaiweka kwenye channel paleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460] Goooooooooool goooool gol gol gol gol gol gol[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]...
Hehehehe.....mwl kashasha hiii unaiongeleajee ?? [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]