Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Haki ya Mungu sijapata kuona timu chovu kama Yanga when it comes to mashindano ya kimataifa. Wao kila siku ni kutandikwa tu, hivi awachoki kuumiza mashabiki wao, wamekuwa kama Arsenal? Hapa watajiita tena wa kimataifa wakati hawajawahi kufanya lolote la maana katika mashindano ya kimataifa, tusubirie wakatandikwe 7 huko ugenini. Baada ya mechi mashabiki walianza mgogoro eti kwa nini Mze Akilimali hakuruhusiwa kubugia ugoro pale uwanjani huenda timu yao ingepata ushindi au hata kuambulia sare. Huku mitaani tumeshaona baadhi ya mashabiki wa timu chovu (Yanga) wameenza kuchoma DVD zote za Makhirikhiri na kuhapa kwenda Kariakoo kuchoma maduka moto.
 
Yanga wamegongewa pasi za kutosha na hawa Township Rollers km Man city walivyowagongea Chelsea. Yanga hovyo kabisa.

Hawa township rollers wangekutana na sisi wekundu Wa msimbazi gemu ingekuwa Kali sana any way hawa Al Masry kesho lazima tuwape ki zygote fasta.
.....[emoji460]Ivan Ntege kwake Simisani Mathumo...... [emoji460]kwake tena Ivan Ntege, anaipeleka kwa Tshepo, [emoji460]Tshepo anaipeleka tena kwa Mathumo, [emoji460]Mathumo kwake Ivan, Ivan kwake Maano Ditshupo, [emoji460]Maano Ditshupo, kwake Mathumo....... [emoji441]Watizame wanavyocheza, [emoji460] Mathumo kwake Thengolame Boy, Boy kwake Maano Ditshupo...... [emoji460] Ditshupo anaitupa ndefu kule kwa Mosoletsi Sikele, Sikele anaituliza uzuri pale, anaianza kwa Ivan Ntege, [emoji460]Mosoletsi Sikele anafungua chumba na Ivan Ntege anaiweka kwenye channel paleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460] Goooooooooool goooool gol gol gol gol gol gol[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]...

Hehehehe.....mwl kashasha hiii unaiongeleajee ?? [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu hahahahaaa hii move ya goli mbona ni km naiona unavyoelezea hapa. Mi huwa napenda sana kuhesabu pasi LAKINI hawa wabotswana waligonga nyingi mpaka nikashindwa kuendelea kuhesabu. Sio siri yanga walikuwa outplayed kila idara. Jana Dume lao simba limem press mwarabu mpaka mvua ikamwokoa. Hata iweje Al Masry LAZIMA agongwe LABDA DUNIA IPASUKE.
 
Back
Top Bottom