Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

Imagine kuna waliowahi kudraw na kuruhusu goli na waliopo mochwari(wafu) [emoji23][emoji23][emoji23]


View attachment 1384415
Hapo nimeona umeweka fixture ya mwaka 2018 na mwaka 2019 maanake huyu marehemu wa sasa aliyepigiwa bomu mochwali alikuwa ni mzima wa afya na anajiweza kwa kipindi hicho. Au una maanisha kwamba hata kwenye hizo fixture uliyoweka hapo hii Singida ya msimu 2018/2019 alikuwa anashika mkia? Na pia je alishinda mechi mbili tu katika mecho zote alizocheza kama ilivyo kwao katika msimu huu?

Timu inayoshika mkia kwa kushinda gemu mbili tu katika mechi 27 alichocheza ndani ya msimu huu, ni dhaifu kupita maelezo. Kufungwa magoli hata kumi haistui

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani marehemu alikufa lini?
 

Safi. Hizo ndio size yenu. Hata mfunge 100 no one cares as long as hamuwezi kufunga timu kubwa. Japo mmeshinda nane; hata kesho tukirejea game hamuwezi kutufunga.

Ni vyema mkajifurahisha kwa level hizo.
 
Safi. Hizo ndio size yenu. Hata mfunge 100 no one cares as long as hamuwezi kufunga timu kubwa. Japo mmeshinda nane; hata kesho tukirejea game hamuwezi kutufunga.

Ni vyema mkajifurahisha kwa level hizo.
Umefungwa miaka minne mfulilizo..kipofu kaona mwezi... last time unashinda vs Simba ulikua ni msimu wa 2015 kabla ya hiyo juzi
...hehehe kweli masikini kapata...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlivyo cheza nae kwanini hamkufunga hizo goli ?? mlifunga mbili sijui moja, kwann hamkumfunga hizo 10?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…